Benard Morrison Acha Kabisa...

Bado mnatoroka au yeye ndiye anawatoroka
 
Soka letu hili na namna mausajili yanafanyika inakuwa kama kutia mkono kizani.

Mana kipindi huyu jamaa anatua kwetu sidhani kama hata alikuwa na timu zaidi ya historia tu kwamba aliwahi cheza sijui Orlando Pirets (kama sijakosea) [emoji41][emoji41]
hakuwa timu wamemtoa mtaani tu[emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Soka letu hili na namna mausajili yanafanyika inakuwa kama kutia mkono kizani.

Mana kipindi huyu jamaa anatua kwetu sidhani kama hata alikuwa na timu zaidi ya historia tu kwamba aliwahi cheza sijui Orlando Pirets (kama sijakosea) 😎😎

Alikuwa pia na historia ya wizi wa magari, na mlisema potelea mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…