rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Leo tunafukua makaburi mtayatafuna maneno yenuSimba mbona mnahamaki ? Yule ni mchezaji hatari sio kama wale veterani wenu wanaotumia boster maana kwenu kumsajili kijana ni shida mpaka uwe veterani kama Wawa Nyoni Manula Kagere Boko Kapombe Kahata Kanda nk