Benazir Bhutto Assassinated!!

MWANAKIJIJI....what i object ni watu kutaka RE-WRITE history kwa sababu mtu kafa mfano: Nyerere alikuwa akituambia kuwa lazima tuwe wazalendo lakini alipoumwa huo uzalendo ulimshinda na akafi ST THOMAS HOSPITAL LONDON badala ya Muhimbili....
Nice one

Ila Shhhhhhhhhhh!, so i was told.
kuna watu hapa hawataki Mchonga asemwe vibaya!!
 
choveki, hivi kweli mfano ule ni mfano kweli wa uzalendo vs maslahi binafsi. Mchonga anaweza kusemwa vibaya asikudanganye mtu.. wamesemwa mitume hapa ije kuwa hawa wanadamu.. !?
 

Au ile film ya Goodbye bafana, yule mzungu mbaguzi aliyefika mahala akaamua kumsaidia Mandela, he ended up a hero himself as well. Sasa hapa kwa kweli pamoja na matatizo yote ya huyu mama, bado anasimama kuwa moja ya majasiri wachache sana sio tu Pakistani bali duniani kote. Cha kukumbuka pia hapa ni kwamba waliomuua hawakumuua kwa sababu ya madai ya rushwa bali kwa kuchukia demkrasia na uhuru aliokuwa anataka kuuleta huyu mama. She stands tall as one of the highly regarded and respected heroes in Pakistan and the asian continent. There is no doubt that her brutal murder will hunt the killers and all her political enemies for many years to come.
 
Well said Kitila and that is the truth.
 
na kwenye jamii ya Kiislamu, anabakia kuwa mwanamke wa Kiislamu ambaye amewahi kufikia ngazi ya juu kabisa katika utawala wa serikali ya nchi yake.
 


Pakistan's former Prime Minister Benazir Bhutto is killed
in a presumed suicide attack at an election rally.


May God bless her soul.





Key issues in Pakistan:

1. Nuclear power

2. Al Qaeda and muslim fundamentalists

3. Power control within the region with the Western countries.



Wachunguzi wa mambo wa karibu wa marehemu wanalaumu serikali ya Mushaaraf kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha na kutowakamata muslim fundamentalists na badala yake kuwapa kashkash lawyers etc.

Atatokea bhutto mwingine kwa sababu ni chama cha kifamilia na wapo wengi ambao tayari wanajitayarisha kuchukua usukani lakini itakuwa kama india ambako kuna watu hawataki jina la Gandhi liwemo kwenye siasa zao. Its a TABOO
 
ohhhhhhhhh mungu wangu,wamem-KOLIMBA!!!!!!!!!!!!

mola amlipe kutokana na mema yake na amsamehe mabaya yake.
 
Sen. Joe Biden ktk MSNBS's Hardball with Chris Mathews, anasema kwa ripoti alizonazo PPP na Bhutto walikuwa wanashinda kiulaini uchaguzi wa mwezi January.

Ghafla primaries sasa zimekuwa juu ya foreign policies to the disadvantage of the Obama's......damn you, AQ!!.
 
Bhutto aliheshimika kwa baadhi ya wa-Pakistan na kwa kuishi kwake London kama mkimbizi, kulimpa nafasi ya kujiandaa kuwa kiongozi tena wa nchi hii ambayo ni ngumu sana kuiongoza.

Bhutto pia alikuwa amekwishapikwa na nchi za Magharibi na walimtegemea kuleta mabadiliko fulani katika nchi hii ambayo pia ina ukabila na "complexity" ya hali ya juu kuhusu uislam na uislam wenye msimamo mkali (hapa namaanisha viota vya Taliban na Al-Qaeda).

Lakini mama huyu ameuawa kwa mengi, lakini mawili makubwa ni kama ifuatavyo:

Kwanza, Benazir Bhutto ameuawa kwa kushiriki kwake na mazungumzo na Generali Musharaf pamoja na Marekani ukizingatia kwamba waislam wenye msimamo mkali hawakuwa tayari kuona hayo na kwamba Musharaf ameua na kutesa sana watuhumiwa wa ughaidi nchini humo wengine bila hatia.

Pia Benazir Bhutto akatoa ahadi katika kadamnasi kwamba angewashughulikia waislam wenye msimamo mkali! na hii kwangu naona ilikuwa ni "suicidal statement"

Pili, Nawaz Sharif ni mmoja wa matunda ya Generali Zia ambae alikuwa dikteta na ndie alietoa amri ya kunyongwa kwa baba yake Benazir,Zulfikar Ali Bhutto. Baba wa Benazir alikaribisha kwa mikono miwili mapinduzi yaliyofanywa na Musharaf mwaka 1999 dhidi ya Nawaz Sharif- kwa hio hapa fikiria!

Kwa sababu ya mambo haya na mengine mengi tu Bhutto hatunae tena lakini akiwa mwanamke jasiri, alijaribu kutaka kufanya mambo fulani mazuri kwa wa-Pakistani lakini kwa jamii ya wa-Pakistani (walioko nchini Pakistan) ameonekana ni mtu mwingine na sie yule Benazir Bhutto aliepinduliwa.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Bhutto mahali pema peponi, Amen.
 
na kwenye jamii ya Kiislamu, anabakia kuwa mwanamke wa Kiislamu ambaye amewahi kufikia ngazi ya juu kabisa katika utawala wa serikali ya nchi yake.

well bila kusahau kuwa in almost all Western countries except for New Zealand, women did not gain the right to vote until the twentieth century.

SWITZERLAND: DID NOT PERMIT women to vote in national elections until 1971– decades after Muslim women in Afghanistan, Iran, Iraq and Pakistan had been casting ballots.


UNITED STATES, the largest and most influential Western nation, has never had a female president. In contrast, two of the most populous Muslim countries,


BENAZIR BHUTTO
headed two governments in Pakistan

KHALEDA ZIA (X2) & HASINA WAZED served consecutively in Bangladesh as Prime ministers.


MEGAWATI MSUKARNOPUTRI was also the Indonesias President



TANSU CILLER was also Turkeys prime minister so in my opinion Muslim world has been far ahead than the so called western liberal democracies in terms of Women empowerment[/
SIZE]
 

Game, I salute you for puting together information above!!
Great!

SteveD.
 

GT,

Ni kweli hata Afrika ni Liberia tu ndo tuna head of state mwanamke! Mongela Tz ndo tayari amechemsha!!!!!!!!!!!!!!

May be wanawake mda bado -tunalazimisha tu mambo!
 

zile issues 3 ulizozi raise

Kwa mwelekeo wa western Governments hayo ndio mambo makuu ambayo mimi nimeyaona yanawakera sikuuliza swali nimeweka opinion yangu.

Vipi hupendi my opinion?
 
Kwa mwelekeo wa western Governments hayo ndio mambo makuu ambayo mimi nimeyaona yanawakera sikuuliza swali nimeweka opinion yangu.

Vipi hupendi my opinion?

la hasha ukisoma kwa makini utaona hakuna hata sehemu moja niliyosema sipendi majibu yako for simple reason. Sina sababu ya kusema hivyo nilikuwa naendelea tu na mjadala lakini kama unaona nimekosea kukujibu then tusameheane
 
GT,

Ni kweli hata Afrika ni Liberia tu ndo tuna head of state mwanamke! Mongela Tz ndo tayari amechemsha!!!!!!!!!!!!!!

May be wanawake mda bado -tunalazimisha tu mambo!

Mzalendohalisi,.... do you really think so?! Give women a chance, perhaps we wouldn't be having Iraq War, Darfur and so many other chaotic situations around the globe..


SteveD.
 
Hivi wenzangu niwaulize swali, je demokrasia inaweza kuwa imported? Ukizingatia kwamba hilo ndilo lilikuwa kusudio kuwa la Benazir Bhutto na waliokuwa wanamsaidia (nchi za Magharibi na Marekani).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…