Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum na kumuuliza kuwa ataweza kudaka penati

Ally Salum alisema/alionesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.

Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi lilikaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)

Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
 
We ulimsikia nani utopolo big. Mechi ya Simba we inakuwasha nini mbwa wewe
 
Mmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi


Guvu moya 😀
 
Huyo ni kaka yako wa damu huko utopoloni...toka juzi ameshaandika nyuzi za Simba karibia 30..
 
🤣🤣
Aseee kauli mbiu ni ile ile kutoka ni kutoka tu”
 
Nguvu moya [emoji2935]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unahangaika sana Mkuuuuuuuuuu halafu Wewe ni Uto lia lia 😡😡😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…