Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Mdaka Nshale eti angedaka lile Kombora la Kifo lingemtoboa mpaka Kifua na angekufa kabisa halafu Mali tuanze kuvunja nao mahusiano ya Kidplomasia 😂😂😂😂
Akaona bora alipishe tu isije ikaleta shida
Lilikua kali mnooo
 
Mdaka Nshale eti angedaka lile Kombora la Kifo lingemtoboa mpaka Kifua na angekufa kabisa halafu Mali tuanze kuvunja nao mahusiano ya Kidplomasia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akaona bora alipishe tu isije ikaleta shida
Ndiyo kombe lenu Hilo na kujipooza machungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati

Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.

Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)

Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Hii ingeleta kelele pia Kwa mfano kakolanya angefungwa zile penalty binadamu wangeanza kusema ally salum asingetolewa ange daka vizuri penalty & vice versa is true...
 
Hiki ndicho kilichofuata 😄
InShot_20230429_140543468.jpg

images - 2023-04-29T134048.920.jpeg
 
Mmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi

Guvu moya [emoji3]
Waydad ndiyo mabingwa w kupoteza muda siju zote.
 
Tshabalala alionekana kuzungusha mikono ishara ya substitute lakini skuona Jamba lolote . Nn maana ya captain na kwanini asiaminiwe.
Tshabalala kataa ucaptain wanakuchukulia poa.x🤣🤣😲😲
 
Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati

Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.

Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)

Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Ni kweli shabalala jana alionekana akiwaambia bench la ufundi kwa ishara wafanye mabadiliko ya kipa ila halikufanyika

any way tshabalala yy ni mshauri tu ila mwenye maamuzi ya mwisho ni kocha.
 
Watani zangu wana ,🦁si muda wakutafuta mchawi,alisha wapeni madhara, achaneni na yote gangeni yajayo,zaidi zaidi msiwe na nyie wachawi wetu,acheni kesho tuwabebeni,tulibebe taifa.🤔
 
Ni kweli shabalala jana alionekana akiwaambia bench la ufundi kwa ishara wafanye mabadiliko ya kipa ila halikufanyika

any way tshabalala yy ni mshauri tu ila mwenye maamuzi ya mwisho ni kocha.
Katekeleza majukumu yake lakini benchi la ufundi lilibunda tu

Back
Top Bottom