Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum na kumuuliza kuwa ataweza kudaka penati

Ally Salum alisema/alionesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.

Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi lilikaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)

Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.

Azam, na Ligi kuu mkishindwa, fungeni tu saccoss yenu kama Mr. KUKU.
 
Back
Top Bottom