Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 726
Huyo aliyeanzisha uzi ni utopolo mwenzako, kwa hiyo usiseme 'mmeanza'Mmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi