Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Mmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi
Huyo aliyeanzisha uzi ni utopolo mwenzako, kwa hiyo usiseme 'mmeanza'
 
Nilidhan jana makolo wangefuzu ½ fainali, ila kadri dakika zilivyoenda nikagundua bench la ufundi hawana akili, coach wa makipa wa Simba apigwe makofi hakumuandaa dogo kudaka penat, coach apigwe makofi angecheza Psychological game angemtoa Dogo angemuingiza Kakolanya adake penat, inshort jana coach alikua anauwezo wa kulazimisha afuzu kwa kupata sare ya 1-1... Wydad jana walicheza kawaida sana ni vile simba walifeli kimbinu...
Kweli kabisa mkuu upo sahihi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati

Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.

Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)

Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Hii hata mimi nililiona ila bado nikashangaa hawakufanya hvyo.
 
Hivi zile Penati zenyewe ulibahatika kuziona au ulikua ukizisikiliza kwa matangazo ya redioni tu?
Labda kama una hamu ya kulaumu ma siku yako isingepita pasipo kulaumu, basi ungelaumu waliokosa penati lakini siyo kumlaumu kipa kwa kutozidaka penati zile.
 
We ulimsikia nani utopolo big. Mechi ya Simba we inakuwasha nini mbwa wewe
True colours za Makolo fc ndo hivi mitusi grade one! Mbumbumbu fc wanatisha kwa matusi! Bila Kutukana Raha hamna!

Simba gwedegwede hawawezi kucomment bila matusi mazito. Hii inadhihirisha kiwango Cha hasira zilizowajaa!! Makolo Kombe hawana hata moja msimu wa pili huu na klabu bingwa wameumaliza mwendo kike, wamekandwa na waume zao Wydad kama tulivyosema Sasa wanasimba wamebaki kutazamana tu klabuni.

Sasa Simba imeonesha ni genge tu la wahuni hii timu yao yenye makelele na masifa na ligi sahihi kwao ni ndondo maana kujipa ukubwa bila kombe ni dharau kubwa. Hii Simba ligi ya saizi yao ni ndondo cup ikaumane na wenzao kina Abajalo, Faru Dume, Mpalanger fc etc!!
 
Usituzungumzie sisi Simba hayakuhusu kwanza..tufungwe sie nyie ndo muumie hii imakaaje..
Sis WaTz ni wakarimu sana ni desturi yetu kumuonea huruma marehemu na kumuombea na kumpa Maua yake!!
 
Tuwe wakweli tukubari matokeo mara ngapi tunaishi hapo iwe klabu bingwa au kombe la washindi africa kwahiyo tukubari tisiwe sizitaki mbichi hizi baada ya kwishindwa vyote,
 
Back
Top Bottom