Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Mtani uko powa?Yashapita hayo Nalia usitugombanishe na benchi la ufundi tafadhali
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani uko powa?Yashapita hayo Nalia usitugombanishe na benchi la ufundi tafadhali
Mdaka Nshale eti angedaka lile Kombora la Kifo lingemtoboa mpaka Kifua na angekufa kabisa halafu Mali tuanze kuvunja nao mahusiano ya Kidplomasia 😂😂😂😂Huyo aliebinuliwa kwa che Nkapa?
Lilikua kali mnoooMdaka Nshale eti angedaka lile Kombora la Kifo lingemtoboa mpaka Kifua na angekufa kabisa halafu Mali tuanze kuvunja nao mahusiano ya Kidplomasia 😂😂😂😂
Akaona bora alipishe tu isije ikaleta shida
Niko poa mtani sijakuona popote
Nisamehe Mimi nimekosa Mimi [emoji16]Unahangaika sana Mkuuuuuuuuuu halafu Wewe ni Uto lia lia 😡😡😡😡😡
Ndiyo kombe lenu Hilo na kujipooza machungu.Mdaka Nshale eti angedaka lile Kombora la Kifo lingemtoboa mpaka Kifua na angekufa kabisa halafu Mali tuanze kuvunja nao mahusiano ya Kidplomasia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akaona bora alipishe tu isije ikaleta shida
Hii ingeleta kelele pia Kwa mfano kakolanya angefungwa zile penalty binadamu wangeanza kusema ally salum asingetolewa ange daka vizuri penalty & vice versa is true...Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati
Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.
Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)
Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Lingekufa Jitu pale Lupaso 😂 😂 😂 😂Lilikua kali mnooo
Kibu tunamtafutia dawaHuyo aliebinuliwa kwa che Nkapa?
Tayari kisingizio kilikuwepo kwamba hayupo fit.Hii ingeleta kelele pia Kwa mfano kakolanya angefungwa zile penalty binadamu wangeanza kusema ally salum asingetolewa ange daka vizuri penalty & vice versa is true...
Kwa hiyo furaha yenu imehamia kwenye goli la kibu.Lingekufa Jitu pale Lupaso [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimejaa tele, sitaki tu kuelezea chochote kuhusu (.....) maana sipendi kabisa kugusa furaha yako Mama...[emoji142]Niko poa mtani sijakuona popote
Waydad ndiyo mabingwa w kupoteza muda siju zote.Mmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi
Guvu moya [emoji3]
Nyie kugombana ni kawaida tu. Ngoja ligi iishe utaona 😅😅Yashapita hayo Nalia usitugombanishe na benchi la ufundi tafadhali
Kweli kabisa mkuu [emoji23]Tshabalala alionekana kuzungusha mikono ishara ya substitute lakini skuona Jamba lolote . Nn maana ya captain na kwanini asiaminiwe.
Tshabalala kataa ucaptain wanakuchukulia poa.x[emoji1787][emoji1787][emoji44][emoji44]
Ni kweli shabalala jana alionekana akiwaambia bench la ufundi kwa ishara wafanye mabadiliko ya kipa ila halikufanyikaDakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati
Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.
Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)
Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Watani zangu wana ,🦁si muda wakutafuta mchawi,alisha wapeni madhara, achaneni na yote gangeni yajayo,zaidi zaidi msiwe na nyie wachawi wetu,acheni kesho tuwabebeni,tulibebe taifa.🤔Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati
Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.
Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)
Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Katekeleza majukumu yake lakini benchi la ufundi lilibunda tuNi kweli shabalala jana alionekana akiwaambia bench la ufundi kwa ishara wafanye mabadiliko ya kipa ila halikufanyika
any way tshabalala yy ni mshauri tu ila mwenye maamuzi ya mwisho ni kocha.