NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #81
Fact [emoji3578]Tuwe wakweli tukubari matokeo mara ngapi tunaishi hapo iwe klabu bingwa au kombe la washindi africa kwahiyo tukubari tisiwe sizitaki mbichi hizi baada ya kwishindwa vyote,
Huyo kasema sisi maiti na mm nimemwambia wao ni majeneza yote yanaozq
Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum na kumuuliza kuwa ataweza kudaka penati
Ally Salum alisema/alionesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.
Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi lilikaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)
Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Walivyokua wanachelewesha muda makusudi Ina maana kuwa waliamini wapo vizuri katika upigaji wa penatSimba imejitakia kutolewa
Simba ilikuwa inachelewesha muda makusudi
Ligi kuu hamna labda faAzam, na Ligi kuu mkishindwa, fungeni tu saccoss yenu kama Mr. KUKU.
Diarra huyo huyo aliyetunguliwa 2 na Inonga na Kibu D au mwingine?Yule aliyebinuka au kuna mwingine?Hata angedaka Nani .....lazima wangepigwa tu...
Labda angedaka DIARA mdaka mishale
Kibu alifunga magoli mawili Tena.??Diarra huyo huyo aliyetunguliwa 2 na Inonga na Kibu D au mwingine?Yule aliyebinuka au kuna mwingine?