Benchi la ufundi Simba lapigwa chini

Benchi la ufundi Simba lapigwa chini

Mtaalam was kuuza mechi Simba ni kapombe na manula, nilishaeleza Sana
Mechi zote tulizofungwa na yanga wanahusika.
Kapombe alishafungisha kwa shiti la mauya kugonga kifua
Tuletee takwimu hapa kabla ya Manula na Kapombe hawajaja kuchezea Simba, Yanga na Simba walipokutana ni timu gani imefungwa mara nyingi na goals nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaalam was kuuza mechi Simba ni kapombe na manula, nilishaeleza Sana
Mechi zote tulizofungwa na yanga wanahusika.
Kapombe alishafungisha kwa shiti la mauya kugonga kifua
Ushahidi
 
Ni muda wa kagere kurudisha kiwango chake sasa.
Kocha anabifu na wachezaji hadi basi.
Ni muda sasa wa Ajibu na Mkude kucheza.
 
wanadai kumbe team ilikuwa imegawanyika makundi muda mrefu sasa
Gomes ana kinyongo na anawabaga sana.
Ndio maana anashindwa kupata first eleven.
Wachezaji pia wanaendekeza show game, mizaha badala ya kufight dakika zote kuongeza magoli.
Kocha aliyebaki inatakiwa abadili namna ya uchezaji.
Pira biriani limepitwa na wakati, sasa hivi mipira mirefu, kasi na mashuti.
 
Back
Top Bottom