Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ndivyo walivyo hao Mambumbumbu kazi yao kumeza kila anachoongea Mwamedi na Magori.Ni goli zipi mbili kafunga ugenini, so ajabu unahadithiwa mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo walivyo hao Mambumbumbu kazi yao kumeza kila anachoongea Mwamedi na Magori.Ni goli zipi mbili kafunga ugenini, so ajabu unahadithiwa mpira
Tuletee takwimu hapa kabla ya Manula na Kapombe hawajaja kuchezea Simba, Yanga na Simba walipokutana ni timu gani imefungwa mara nyingi na goals nyingi.Mtaalam was kuuza mechi Simba ni kapombe na manula, nilishaeleza Sana
Mechi zote tulizofungwa na yanga wanahusika.
Kapombe alishafungisha kwa shiti la mauya kugonga kifua
Uchawi wa Matola ni upi!?Acheni unafki Darossa hana kosa lolote mchawi Matola
UshahidiMtaalam was kuuza mechi Simba ni kapombe na manula, nilishaeleza Sana
Mechi zote tulizofungwa na yanga wanahusika.
Kapombe alishafungisha kwa shiti la mauya kugonga kifua
wanadai kumbe team ilikuwa imegawanyika makundi muda mrefu sasaNi muda wa kagere kurudisha kiwango chake sasa.
Kocha anabifu na wachezaji hadi basi.
Ni muda sasa wa Ajibu na Mkude kucheza.
Gomes ana kinyongo na anawabaga sana.wanadai kumbe team ilikuwa imegawanyika makundi muda mrefu sasa