Benchika, kocha mwenye maamuzi magumu sana

hapohapo kwa Mkapa tena kwa goli nyingi!
Kwa hizo goli nyingi why bado mnashikilia mkia kwa ligi ya mabingwa?

Hao mlio wapiga goli nyingi hawapo mkiani, saaa nyie mabingwa mnakaa mkiani nini kimewazuia kuhama mkiani?
 
Ha ha ha we subiri watakuja kumkataa huyu.
Siku zote Makocha wao Makolokolo huanza hivi hivi na tunakataza Makolokolo wasijiaminishe wana Kocha bora lakini mweee... Tangu 2019 Yanga SC imefukuzisha Makocha watano wa Manyaunyau SC ila Yanga SC haijafukuzisha hata Kocha mmoja [emoji1787].
 
Ulipaswa kujisikia aibu kushikilia bango la mkiani
Kwa hiyo hamjui kama mpo mkiani πŸ˜‚

Nione aibu?.... πŸ˜‚ Sipo mkiani bhana aibu ya nini wakati huo tupo juu kwa ligi ya mabingwa...

Anyway nyie ni mabingwa ila hamjafikia level ya kutoboa CAFCL so endeleeni kutamba tu huko jangwani 😁
 
Anatembelea na kutekeleza falsafa ya Robertihno kwamba, "Objective (tamka 'OBJEKTIVE') is to win the game".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…