spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Soma vizuri acha kukurupukaYanga ni kikundi cha wahuni halafu wachawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri acha kukurupukaYanga ni kikundi cha wahuni halafu wachawi.
Sawa Makolokolo [emoji847]Shinda mechi zako.
Si bora sisi wako wawili tu wenye akili, lakini hapo umbumbumbuni wote ni Mbumbumbu pro max [emoji125][emoji23]Ni kweli sisi simba watu kadhaa kadhaa ni makolokolo, ila nyie pale jangwani wenye akili kichwani wanajulikana kabisa.
Umbumbumbu ni kipaji kinachopatikana kwa Makolokolo pekee duniani [emoji119][emoji2]Ulitaka shabiki afanyaje? Wasionyeshe matumaini, wasiridhike na mabadiliko ya timu, Wasiende uwanjani mpaka timu ishinde kombe.
UJINGA mwingine upo madimbwini tu.
Sometime piga kimnya tu kama wewe siyo mshabiki maandazi.Mashabiki bwana? Leo sifa zote zitamwagwa!
Ajichanganye tu afungwe na bingwa la nchi ndipo moto utakapowaka 🤣🤣
Unadhani Mo anadumu vipi. Anajua namna wanasimba wanavyofikiri.Hata mechi 5 tu Simba SC haijacheza na Kocha mpya tayari mmeridhika, kweli Makolokolo hamna tofauti na Watoto wadogo kudanganyika kirahisi [emoji1]
Bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...[emoji119][emoji16]Unadhani Mo anadumu vipi. Anajua namna wanasimba wanavyofikiri.
Kuna mmoja nimemkuta amenuna .Anasema refa kawanyima penati ya wazi Wydad. Kweli UCHAWI mbaya mbogamboga watalala na viatu.Wanga mumenuna kweli kweli na kesho ndiyo mtajinyonga kabisa
Hivi ni vitu vya kawaida ...kwenye Objective Football"! Utasemaje haijawahi kutokea Kwa muda mrefu..Simba iliwahi fanyahivo kule South Afrika na vigogo wa South !Huyu kocha leo nimemvulia kofia, kumchezesha Duchu ambaye tangu asajiliwe hakucheza mchezo wowote halafu leo unamuingiza akashikilie bomba ilikuwa jambo la hatari sana, kumuingiza kiungo Abdallah Hamis ambaye naye hakuwah kucheza hata siku moja ilikuwa ngumu kumeza, kupaki basi kuanzia dakika ya 60 ni uamuzi mgumu ambao ulitufanya wengi tushike bomba, kujaza mabeki saba nyuma haijawahi kutokea kwa muda mrefu sana, maamuzi magumu ya Benchika ambaye anafanana kwa sura na Bongo Zozo.
UUnateseka kutokea pande zipi?Muda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.
Kazi za boko zilikuwa 2. Kulinda timu kwenye mipira inayopigwa cross kwenye box la Simba na kuwaondolea mabeki wa kati wa Wydad uhuru wa kupokea mipira na kusogea mbele.Alitaka kasi zaidi kwenye kujilinda na kushambulia kwa counter attacking japokuwa John bocco mda mwingi alikuwa off position team inapokuwa na mpira na kushindwa kuendana na kasi nadhani chilunda angeingia badala ya bocco mambo yangekuwa tofauti leo pale kwa mkapa.
Ha ha ha we subiri watakuja kumkataa huyu.Muda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.
So ulitaka afukuzwe? Kweli huko wapo wawili tu wenye akiliHata mechi 5 tu Simba SC haijacheza na Kocha mpya tayari mmeridhika,
Mkuu, hii Game Wydad alikuwa anaondoka na goli zisizopungua 5, ni vile tu upepo haukuwa upande wao, ofkoz Simba ina mabadiliko ila sio makubwa sana.Achana na ushindi itazame timu inavyocheza.
Ha ha haSIMBA HAKUNA MCHEZAJI MBAYA
Bingwa la nchi lililopo mkiani ama bingwa lipi?Ajichanganye tu afungwe na bingwa la nchi
Ndio, lile bingwa lililoutafuna mfupa uliomshinda Wydad hapohapo kwa Mkapa tena kwa goli nyingi!Bingwa la nchi lililopo mkiani ama bingwa lipi?
Ni kama roho inauma hivi....hebu kunywa maji mengi upunguze na UTIMuda ni lesson hatari sana kwa jambo lolote lile, tuendelee kusubiri muda (Mwalimu) tujue ni mihemuko tokana na ushindi wa mechi ya Makolokolo SC vs Wydad Casablanca au ni kweli sifa anazopewa Kocha mpya.