Benchikha: "Sisi Waalgeria hatumuogopi mtu"

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers.

Benchikha alitoa kauli hiyo wakati USMA walipokuja kucheza na Deportive de Utopolo katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho msimu wa 2022-23. Benchikha alisema "Sisi Waalgeria hatuna historia au tabia ya kumuogopa mtu yoyote". Wakati Deportivo de Utopolo wakienda kucheza mechi yao na CRB, ni muhimu wakakumbuka hii kauli ya kibabe.

Mimi binafsi nikienda zangu kwa mhindi namwambia amuue Yanga na vizazi vyake vyote, halafu narudi zangu geto kusubiria maokoto.
 
Huyo Benchka ni matola aliyechangamka. Hana jipya pamoja nakuja na mbwembwe za kutaka kumuondoa kwenye mfumo mwenye timu yake "Chama".
Hatimae ameingia yeye kwenye mfumo.
 
Huyo Benchka ni matola aliyechangamka. Hana jipya pamoja nakuja na mbwembwe za kutaka kumuondoa kwenye mfumo mwenye timu yake "Chama".
Angoje wakati ukifika alamabiswe mwiko wa 5G tena. Labda mechi hiyo ya mwisho iwe ya kumalizia ratiba tu na Yanga watakuwa wameshavishwa taji la uingwa; kinyume cha hapao mwiko utamtembelea Benchika apatwe na kihoro
 
Naomba mwenye picha ya huyo Benchika na yule shemeji yetu Bongo zozo, aniewekee hapa kwa faida ya mtoa mada.
 
20240224_210845.jpg

Cc adriz njoo huku kaka Kuna risiti 😁🤣😂😂😂
 
Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers.

Benchikha alitoa kauli hiyo wakati USMA walipokuja kucheza na Deportive de Utopolo katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho msimu wa 2022-23. Benchikha alisema "Sisi Waalgeria hatuna historia au tabia ya kumuogopa mtu yoyote". Wakati Deportivo de Utopolo wakienda kucheza mechi yao na CRB, ni muhimu wakakumbuka hii kauli ya kibabe.

Mimi binafsi nikienda zangu kwa mhindi namwambia amuue Yanga na vizazi vyake vyote, halafu narudi zangu geto kusubiria maokoto.
Vipi unaendeleaje hapo kwa Wahindi?
 
Back
Top Bottom