Punainen
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,304
- 1,056
Bongo ukitembea mitaani utaona bendera za Marekani, watu wamevaa mavazi yenye picha kubwa za marehemu Osama bin laden, kwa nini watu kuwa na bendera ya Israel inaleta matusi na kebehi kiasi hiki?!
Na kama mna uwezo wa kuelewa naomba niwaambie kitu, maana humu naona huwa wengi wanapotosha juu ya kwa nini watu wanaipenda Israel. Hakuna dhehebu la kikristo linalofundisha kuwa waisraeli ni wakristo, kwa hiyo hakuna mkristo wa kweli anayesema au kufikiri kuwa Waisrael ni wakristo. Haiwezekani wewe usiye mkristo uwaelekeze wakristo namna ya kuwachukulia waisrael! Uzao wa Ibrahimu kupitia Mkewe wa halali Sara, una nafasi ya pekee katika maandiko wanayoamini wakristo, kwa hiyo acheni kuwa mnapotosha kwa kudai kuwa wakristo wanawapenda wayahudi kwa kudhani kuwa ni wakristo wenzao! Dhana hiyo si kweli. Na pia Biblia haijaagiza wakristo waichukie Israel. Mkristo anaelekezwa kumpenda hata adui yake, sembuse Israel? Full upendo!