Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Bongo ukitembea mitaani utaona bendera za Marekani, watu wamevaa mavazi yenye picha kubwa za marehemu Osama bin laden, kwa nini watu kuwa na bendera ya Israel inaleta matusi na kebehi kiasi hiki?!
Na kama mna uwezo wa kuelewa naomba niwaambie kitu, maana humu naona huwa wengi wanapotosha juu ya kwa nini watu wanaipenda Israel. Hakuna dhehebu la kikristo linalofundisha kuwa waisraeli ni wakristo, kwa hiyo hakuna mkristo wa kweli anayesema au kufikiri kuwa Waisrael ni wakristo. Haiwezekani wewe usiye mkristo uwaelekeze wakristo namna ya kuwachukulia waisrael! Uzao wa Ibrahimu kupitia Mkewe wa halali Sara, una nafasi ya pekee katika maandiko wanayoamini wakristo, kwa hiyo acheni kuwa mnapotosha kwa kudai kuwa wakristo wanawapenda wayahudi kwa kudhani kuwa ni wakristo wenzao! Dhana hiyo si kweli. Na pia Biblia haijaagiza wakristo waichukie Israel. Mkristo anaelekezwa kumpenda hata adui yake, sembuse Israel? Full upendo!
 
We ni nani hata umshangae mungu!! Najua utakua ni wale wanaofata kizazi cha ishmael .Hujui mungu kwann aliichagua Israel ni kwa sabab ktk Israel ndipo alikokuepo nabii alie mtii yy na akambariki !! Ni nguvu ya babu zao waliomchagua na kumtumikia mungu wakati waarab wakiabudu sanam na waafrika wakiabudu mizimu!! Leo unasema kwann aliwachagua ulitaka amchague bab yako aliekua anaabudu mizimu na majini
Kwani mungu wako na mizimu ya mababu wa kiafrika wanatofauti gani ?! Wote ni wakufikirika tu ! Bora ya hao warabu waliokuwa wakiabudu sanamu wanoonekana na kushikika !
Mwenzio nipo way beyond that ![emoji57] [emoji57] . siamini huyo mungu wako wa wazungu wala wa warabu !,let alone miungu ya mababu zako.. ! I am a freethinker.. ! To me all of your gods are just fairy tails and con jobs relying on fear to exploit your money and limiting your ability to think outside the box !

Shtuka mkuu tupo kwenye 21st century.. Hiki sio kipindi cha kuamini vitabu vya wachunga kondoo walioamini kuwa dunia ni flat na eti kuna siku kiumbe kikubwa kitakuja kupigana na nyota ![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
Hiki ni kipindi cha sayansi na tekolinalokujia (technology).. Hivi sasa tunajua kuwa magonjwa hasababishwi na kufanya zambi ! Bali kwa vijidudu vidogo visivyoonekana kwa macho (microorganisms).. Na sio laana kama mnavyoongopewa ! [emoji57] [emoji57]

Ubavu hapa, tchao !
 
Wake up naona aliekwambia uwe freethinker alisahau kukuambia kua !!no matter what you do there are something more powerful than any human kind and - above all creature!!Usijidanganye wewe kama walikua wanaamini ugonjwa n laana ilikua ni human stage and now we have progressed!! Lakini uwezo wa kibinadam usikudanganye ukajiona mungu MTU!!
Kuna sehem inasema
" wapumbafu hujisemea moyoni hakuna mungu"
Then science & technologies have limitation BT faith has no limit!!
If you are limited in intellectual, you die,science cannot say about the origin of life,y we are aging,y we are dying cannot prove and disprove the existence of creature with no fresh and you still blv in science and say there is no God!! You think science created the world on it just explain how we can improve our life without knowing where life comes from and where it ends!! Kama hata vtu vidogo huvijui bas we poor creature
 
Mbona mimi nimeweka bendera ya Israel chumbani kinachowauma nini au mlitaka tuweke bendera ya Libya ndio mfurahi wakati Gaddaff hata kaburi lake halijulikani wache hizo.

Wa
Wanataka uweke ya Saudi Arabia mkuu ina jambia za kutosha
 
Mkuu mwaharamu ni yule Abraham alizaa na housegirl wake Hajra

Dua ya Ibrahim kwa Mwenyezi Mungu:

'Mola wangu Mlezi nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema.
Na unijalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadae (Waislaam)
Qur'an:Ashura: 82-84.

........na niepushe mimi (Ibrahimu) na wanangu na kuabudu masanamu.
Qur'an:14:35.

Alhamdulillahi, himidi zote ni za Mwenyezi Mungu aliyenipa juu ya uzee wangu Ismail na Is-haq. Hakika Mola wangu ni mwenye kusikia maombi.
Qur'an:14:38.

Ni nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipokuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu ? Kwa yakini Sisi (Mwenyezi Mungu) tulimteua (Ibrahim) yeye katika Dunia na hakika yeye katika akhera atakuwa ni miongoni mwa watu wema
....alimwambia (Ibrahim) silimu, nyenyekea ! alinena: nimesilimu na nimenyenyekea kwa Mola wa Walimwengu woote.
Ibrahimu akausia wanae: Enyi wanangu ! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii, basi msife bali nanyi mmekuwa Waislaam, wanyenyekevu.
Qur'an:2:130-133.

ILAN RAMON
Au mnasema kuwa Ibrahim na Is'haq na Yakuub na wajukuu zao walikuwa Wayahudi au Wakristo !? Sema: Je nyiynyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu ?
Qur'an: 2:140.
 
Walikuwa wayahudi kwa maana wakati hio sio ukristu wala uislam uliokwepo
 
Una angaika sana hata uweke haya zote za Quran .haitusaidii kitu ndo maana hatusomagi ila mnahangaika Kosoma bible had nyumbani mnavyo .huyo ibrahim mlim copy na kubadilisha mambo
 
Hizi imani za kishamba, taifa teule na sisi taifa letu ni la kawaida?
Nawakubali Israel kwa ubabe na msimamo, bhaaaas!

Una haki ya kutoa mawazo yako, lakin huna haki ya kubadiri ukweli.
Watu wengi wanauona ubabe wa waisrael kivita ,na kusahau ubabe wa kisayansi. Hawa ndio walio buni hata pedi za mama zetu!!
 
Una angaika sana hata uweke haya zote za Quran .haitusaidii kitu ndo maana hatusomagi ila mnahangaika Kosoma bible had nyumbani mnavyo .huyo ibrahim mlim copy na kubadilisha mambo
Ukweli ulio wazi wasio wakristu wanasoma sana biblia kuliko wakristu wenyewe! ajabu wakristu hawana muda wa kusoma vitabu visivyo wahusu!
 
Mkuu ...jambo.hili pia huwa linanishangaza, tena siku.hizi hadi bodaboda, bajaji..wote wanaweka......Watu wanaamini bendera ya wayahudi ndo bendera ya wakristo au inawakilisha ukristo..WAKAT..waisraeli wenyewe.....au wayahudi hawamtambui hata huyo Yesu....ambae ndo chanzo cha ukristo....Hapo ndipo amin kuwa kila binadamu.ana kakichaa fulan hiv au kadegree fulan ka ujinga na ushamba
 
Mzee wa upako naona yeye kaitundika mbele ya madhabahu kabisaa! Ni jambo jema ndio maana anabarikiwa na mimi ntaanza kuitumia sasa.
 
Amen. Najua mnashingo ngumu; hata Mungu anajua hilo lakini bado ni Taifa teule kwa Mungu;hata Musa alijua kuwa ni wenye shingo ngumu kutoka 34:9; kutok 32:9. Lakini bado amesema atakayembarik atambariki na atakaye mlaani atamlaani. ( mwanzo 27:29e) mwanzo 12:2-3. Hiyo ni ahad ya Mungu huwa haitanguki hesabu23:20-21. Nakubariki Israel
Fungueni Youtube muone jinsi Watu weusi wanavobaguliwa kule...wanavuliwa nguo na kudhalilishwa ...amkeni nyie.
 
Zinauzwa wapi ?Wamachinga Bendera za Israel ni fursa,ziuzeni kwa wingi,zileteni makumbusho na Mwenge,Zitubdikeni mabarabarani tuzinunue
 
Back
Top Bottom