Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
The Issue ya kutoelewa haswa inasababishwa na uislam wako hilo ni Moja.... Nikuweke sawa pili sijafundishwa kusoma wala kuamini Sunday School...
Ibrahim hakuwa Yahudi bali ila ndio Asili ya Wayahudi... Nadhani nimekujibu hapo... so huwezi kuwa Myahudi kama hujapitia kwa Ibrahim. na Uyahudi ni Tribe ambalo limetokana na Mtoto wa Yakobo aliyeitwa Yuda Yakobo alikuwa na Watoto Kumi na Mbili na Kila Mtoto familia yake iliwakilisha Kabila Hivyo Yakobo Aliitwa Israel na Watoto wake wote waliitwa wana wa Israel even Unayemuita Nabii Mussa anatokea katika Ukoo wa Levi. so Miaka Hiyo hakukuwa na Kitu Kinachoitwa Ukristo wala Uislam... kulikuwa na Miungu Mingi Sana ikiwemo ya Sanamu Uchawi n.k
So Kina Ibrahim as per Bible Story walikuwa hawaabudu Sanamu iwe ile ya Mwezi kama juu ya Misikiti wala Misalaba n.k bali walikuwa na Record zao za kupractice Mungu wa Babu zao kina Enoch n.k remember Adam alishamwagwa Mungu wake alimpotezea nadhani alikata mawasiliano na mjalana wake... so yameandikwa kuwa Aliweza walisiana na Enoch and enoch alifanya mengi sana katika kuweka record za kupractice Mungu wake.... asiyeonekana wala kuongea na Binadamu wake kama mnavyojiaminisha so ni mambo ya kufikirika tu... kama wewe usiye na ushahidi au waislam wote duniani hawana ushahidi hakika.
Ukisema watu waliomfuata Ibrahim ni Mudi hapo Uko Wrong Ibrahim alipita miaka mingi sana ndipo Mudi akazaliwa na ni watu wawili tofauti kabisa katika kushabihiana... ukiweka moja baada ya Jingine...
Ibrahim Hakubaka.... Mudi Alibaka kitoto Aisha
Ibrahim Alizaa na Mwanamke mmoja wa Nje ya Ndoa - Mudi kibao tu yaani akiwepo Mke wa Jemadari wake aliyekuwa akimtuma vitani yeye anabaki akila uroda
Ibrahim hakuua - Mudi Aliua na hila Zake watu wanakufa hadi leo kwa ajili yake
Ibrahim aliishi Miaka mingi - Mudi aliishi miaka michache
Ibrahim hakuwa Mroho wa Nyama - Mudi Alikuwa na Uchu wa Nyama na ndio Sababu halisi ya Kifo Chake uroho wa Nyama akawekewa Sumu na yeye kwa urafi akaifakamia na kundei tena Nyama aliwekewa na Mke Myahudi...
Ibrahim alitaka alithiwe Mudi hakutaka mtu achukue cheo chake
Ibrahim alikuwa akitoa Mibaraka - Mudi hakuweza
Ibrahim aliongea na Malaika - Mudi aliongea na Shetwain na alipandwa nao Mkewe Khadija Alikili
Mudu labda afananishwe na kibwetele lakini sio Ibrahim....Mwenye heshima babu wa Mababu..
Navyoongea ni kweli tupu na ushahidi upo kwenye kitabu chenu...
Na Muongozo wa Kuabudu tokea kipindi cha akina Adam Enoch Ibrahim Yakob Bado upo Israel ambapo Kabila lililokaza sana ni kabila la Yuda ambao ndio wewe umezoea kusema Wayahudi... wanafuata vile vile jinsi ya kuabudu even YESU (Yashua ) alivyokuwa naye akiabudu wakati wa uhai wake... na alipokuwa ndipo wale walioshindwa kuendeleza namna ya kuabudu walianzisha Dini zao Ukristo na Uislam
Arabuni Kabila lililoitwa Qurash lilikuwa likiabudu Sanamu lenye mfano wa Umbo la Mwezi kipande na huyo Sanamu aliitwa A double L h na alikuwa na mabinti zake watatu kina El-Lati , El-uzza na Manat huyu Mungu wao Mudi alikuja akampandisha Cheo kuwa ndie Mungu Master Muhahahaahah na nyie Mkaamini ila alitumia ubabe ukikataa unauliwa so watu walilazimishwa na Nyumba yake huyo Allah ipo Mecca Inaitwa Kaaba
Asili ya uislam ni Mungu Mwezi na ALAMA HIYO Ipo kwenye Misikiti yote ya WAISLAM kamuulize Shehe wako nini maana ya hiyo alama kama hajakutoa mkuku... STUKA... OH Umekwisha potea
Kuwa Mjenzi Huru..
There is no God watu wamejitungia tu...
'Ambao wanao mfuata huyo Mtume (Muhammad), Nabii asiye soma wala kuandika, ( na hao wanao mpinga) wanaye mkuta ameandikwa katika Tourat na Injil...........
'................basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiye jua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake.
Qur'an: 7:157-158
'Ibrahimu hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislaam, wala hakuwa katika washirikina (waabudu masanamu)
Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale walio mfuate yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa waumini.
Qur'an: 3:67-68.
Mlaleo huko 'Sunday School' walikudanganya.
Jibu haya maswali: Kabla ya Yesu(Ukiristo), waumini walikuwa ni Dini gani ? ......
Ibrahim au Abrahamu ni Nabii ? ....kama jibu ndio, ...je Nabii anaweza kuwa mzinifu mpaka azae watoto wa nje ?
Ibrahim alikuwa na wake wangapi ?
Mlaleo hizo ni stori zako tu za kujitungia, hata Ibrahim humjui, mara nani kabaka mara huyu kazaa nje, mara vile ! ....... bora unyamaze tuu maana maandiko yako hayana puche ya 'authority' yeyote na zaidi yamejaa chuki na stori za kuokoteza. Waislaam hatufuati maoni na mawazo ya mtu bali 'andiko' (Kiatabu)
80% ya Mitume wa Waislaam ni Wayahudi na Muislaam wa Kwanza ni Nabii Adam AS.
Naweka hizi nondo kwa faida pia ya wapita njia !