Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Nadhani wa AFRIKA TUNA ULEMAVU WA AKILI.....kila kukicha Waisrael wanandamana kuwaondoa watu weusi nchini mwao tena wengine mpaka wanawapiga....lakini huku AFRIKA KWA KULEWA IMANI ZA KISHENZI TUNALIITA TAIFA TEULE LA MUNGU.....ni MUNGU YUPI ALIYEWATEUA NA KUWAAGIZA KUWABAGUA BINAADAMU WENZAO......???

Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu walionao waafrika....
 
jamani!jamani!jamani! yanini kulumban kwa kitu kisicho na mashiko?unalumban kisa bendera kutundika ndani ya gari?nina akili tatu nataka nishare na wewe kitu,moja kuna hili la kuifananisha israeli ya sasa na habari iliyopo katika biblia ,hapa napata wasiwasi kwa sababu kuna baadhi ya vitabu katika bibilia vinajikanganya na aya hiyo.(mimi sio mlumbi sana wa biblia) nakumbuka nilishawai kuelezwa na mtumishi mmoja juu ya hili akanifunulia kuwa israel unayopaswa kuirehemu na kuibariki ni ile tunayoisoma na kujaribu kuiishi katika biblia(akagusia kuwa ya sasa si mbaya ukaiombea kwa maana ni binadamu wanaoishi kule na wanafanya maasi makubwa kama tufanyavyo wengine) akaendelea kusema kuwa israel ya kweli ni wewe ambaye umeokoa na kumkiri yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako na kuamini katika yeye,pia akagusia kuwa katika injili yesu alisema yeye ndiye mwanzo na mwisho hakuna awaye kama yeye na njia ya uzima wa milele inakuja kupitia kwake(hakutaja israel hapo,soma hata biblia)

akili ya pili,inaungana na akili ya mchangia mada mmoja kuwa kama unaamua kufanya hayo yote basi utakuwa na mashabiki yako binafsi juu ya taifa hilo kama ambavyo tunaona mashabiki wa yanga.simba na timu mbalimbali wakining'iniza bendera na viambata vya vitu wanavyopenda katika malango yao(magari na n.k)

Akili ya tatu,inaload itakuja na jibu soon.........!!!!......!!!
 
Nadhani wa AFRIKA TUNA ULEMAVU WA AKILI.....kila kukicha Waisrael wanandamana kuwaondoa watu weusi nchini mwao tena wengine mpaka wanawapiga....lakini huku AFRIKA KWA KULEWA IMANI ZA KISHENZI TUNALIITA TAIFA TEULE LA MUNGU.....ni MUNGU YUPI ALIYEWATEUA NA KUWAAGIZA KUWABAGUA BINAADAMU WENZAO......???

Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu walionao waafrika....

Halafu TRUMP akisema kuwa sisi hatuna akili ya kujitawala inabidi wakoloni warudi, tunamuona adui yetu.

Miafrika ni jipu sugu.
 
Nadhani wa AFRIKA TUNA ULEMAVU WA AKILI.....kila kukicha Waisrael wanandamana kuwaondoa watu weusi nchini mwao tena wengine mpaka wanawapiga....lakini huku AFRIKA KWA KULEWA IMANI ZA KISHENZI TUNALIITA TAIFA TEULE LA MUNGU.....ni MUNGU YUPI ALIYEWATEUA NA KUWAAGIZA KUWABAGUA BINAADAMU WENZAO......???

Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu walionao waafrika....
Weusi wanabaguliwa everywhere nitajie mahali ambapo mtu mweusi ana amani nijisaidie haja kubwa hapa jamvini.
Nyani kuvaa nguo sio leseni ya kukaa mezani na mwanadamu.
 
Nadhani wanafanya hivyo kwasababu wanapenzi na nchi ya israeli na historia yake kwa ujumla ni kanchi kadogo lakini kana historia kujiamini. lakini wakisema wanaweka hiyo bendera ni kwasababu za kidini watakuwa hawako sahihi kwasababu muanzulishi ya wa nchi ya israeli alikua anaamini mungu hayupo na hao hao waliyo plan hiyo bendera Na wao hiyo bendera hawakuweka kwasababu za kidini.
 
Nadhani wa AFRIKA TUNA ULEMAVU WA AKILI.....kila kukicha Waisrael wanandamana kuwaondoa watu weusi nchini mwao tena wengine mpaka wanawapiga....lakini huku AFRIKA KWA KULEWA IMANI ZA KISHENZI TUNALIITA TAIFA TEULE LA MUNGU.....ni MUNGU YUPI ALIYEWATEUA NA KUWAAGIZA KUWABAGUA BINAADAMU WENZAO......???

Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu walionao waafrika....
Mbona kuna nchi nyingi zinazoeabagua Waafrika?
 
Weusi wanabaguliwa everywhere nitajie mahali ambapo mtu mweusi ana amani nijisaidie haja kubwa hapa jamvini.
Nyani kuvaa nguo sio leseni ya kukaa mezani na mwanadamu.
Kwa hiyo mkuu kubaguliwa kwa weusi kila mahali hapa duniani ndio inatoa uhalali wa sisi kuacha kuthamini vya kwetu...na kukumbatia vitu vya wenzetu wanaotubagua......ina maana hao wa israel hawana hata nchi moja ya kiafrika inayowavutia hadi kufikia hatua ya kuweka bendela zake kwenye magari yao....???
 
Ni ujinga na upumbavu tu! Wengi husema ni taifa teule la Mungu. Kiuhalisia Israel ya leo siyo ile ikiyotajwa kwenye Biblia. Hawa Waisrael wa leo ni mazayuni washenzi tu hawana hata punje ya uteule.
 
Kwa hiyo mkuu kubaguliwa kwa weusi kila mahali hapa duniani ndio inatoa uhalali wa sisi kuacha kuthamini vya kwetu...na kukumbatia vitu vya wenzetu wanaotubagua......ina maana hao wa israel hawana hata nchi moja ya kiafrika inayowavutia hadi kufikia hatua ya kuweka bendela zake kwenye magari yao....???
Waafrika ni watoto nakuomba usiulize maswali mengi utoto wako unakufanya ushindwe kudadavua mambo. Donald Trump anasema there is no shortcut to maturity mwombee ashinde aje atusaidie kukua.
 
Ina maana hujui Israel maana yake ni nini?
Waswahili wanasema asiye jua maana haambiwi maana itoshe tu kujua kuwa sababu za kuweka hizo bendera kwenye magari ni zaidi sana ya za kisiasa na wapo wanao jua undani wa Israel na wataendelea kuipenda na kadri siku zinavyo kwenda watazidi kuongezeka na wapo wasio ipenda ni haki yao,Mungu libariki na kulilinda Taifa lako Israel.
 
Mambo ya Imani ni magumu sana. Kila mwenye Imani yake anamuona mwenye imani tofauti kama amepotea na hatafika kwa Mungu. Sasa sijui nani yuko sahihi?
 
Back
Top Bottom