MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
Hapa Tanzania waafrika pia hatukaribishwi.Mkuuu ni kweli unayoyasema
Lakiin Taifa gani waafrica wanakabiribishwa unalolijua wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Tanzania waafrika pia hatukaribishwi.Mkuuu ni kweli unayoyasema
Lakiin Taifa gani waafrica wanakabiribishwa unalolijua wewe?
Hahaha Mkuu wewe ni wale wanyarwanda na wakongo walodakwa operation tokomeza nini?sasa si mtafute vibaliHapa Tanzania waafrika pia hatukaribishwi.
😛😛😛😛😛😛Nalipenda mno neno "Israel" kuliko neno "Tanzania" maana neno Israel limeasisiwa na Mungu Mkuu
muumba wa mbingu na nchi; Mungu wa Ibrahimu; Mungu wa Isaka; Mungu wa Yakobo na baadae huyu ndiyo Israel; Maana ya jina lenyewe ni mshindi: Lakini neno Tanzania limeasisiwa na binadamu kwahiyo ni la kawaida tu. Hakuna nchi ya kusimama kupigana na Israel na ikashinda si Urusi,Marekani, Ujerumani wala China.
Fimbo ya enzi haitaondoka mikononi wa Yuda mpaka atakapokuja yeye mwenye kumiliki: Wafilisiti na Waarabu wote wanaifahamu vyema hii fimbo tokea enzi za Musa, Joshua na Daudi mwana wa Yese pia Mfalme wa Israel. Hii historia ilikuja kujirudia ule wa miaka ya 1962-1968-9 pale nchi takribani 9 za kiarabu ziliposalimu amri kwa taifa lenye watu wasiozidi milioni moja.
Ni vitu vya kitamaduni uvaliwa mikononi au shingoni siku hizi wana design ki modern zaid na kuvaliwa sna zikiwa na muonekano wa bendera ya tanzania kwa muonekano tofauti hasa watu jamii ya rasta ndo wanatengenezaga sna na kuuza hata ukienda bagamoyo utawaona rasta wakifanya biashara ya kacha mbali mbali
Yap ahahahah ndo wamezoea kuita kacha nikajua hua una faham ila nadhani umenisaidia pia kujua neno makembeDuh! Ahsante , nimekuelewa vizuri sana .Ina maana zile bangili za kiasili zinazotengenezwa kwa shanga, au ngozi za wanyama.
enzi zetu tulikuwa tukiziita makembe.
Ila hilo neno Kacha umelitohoa toka kiingereza cultural.
linajitegemea kwa kitu gani? hebu fafanua tuelewe. Israel ni nchi inayoongoza kupokea misaada ya kijeshi na kiuchumi kutoka marekani. Kwa afrika Egypt ndiyo inayoongoza. sasa sijui unamaanisha nini unaposema Israel inajitegemea kwa kila kitu?Bado hujaijua Israel mpaka sasa, hilo ni taifa pekee duniani lenye uwezo wa kujitegemea kwa kila kitu na limezungukwa na majirani maadui, bendera ni ishara ya upendo
Mbona hao waisraeli hawabebi bendera za Tanzania. Na haya mambo yanafanyka kwenye nchi za kiafrika maana Marekani PAMOJA NA ushosti wote na Israeli huwezi ona raia wake wakitembea na hizo bendera never ni sisi tu wafuata mkumbo bila kuelewa.
Halafu kuna kitu nakishangaa kwa hawa wakristo wanaobeba hizi bendera maana sio wote. Wanasena wanamuamini YESU Kristo but wanapeperusha bendera za watu wasiomuamini YESU kristo
ulimbukeni tu wao hawana hata habari na Wafuasi wa vikanisa uchwaraRejea kwenye maandiko matakatifu ya BIBLIA,hapo utafahamu kwa nini watu wanapepeza bendera ya Israel.
kun
nadhani ni kasumba tu kwa baadhi ya wafuasi wa yesu kudhani bendera ya kizayuni ya israeli inawakilisha israel ya ndani ya biblia takatifu. israel ya leo ni nchi ya mazayuni wabaguzi wakubwa. ni nchi sawa na apartheid south africa.
-Period..kama ni mkristo haya maneno utayakuta kwenye Biblia hata mtu ungewaita eti wanadharau wanajisikia,mara ni wabaguzi haisaidii nani sio mbaguzi??nani hajisikii?? nani hana dharau??tuanzie hapo.Wala tusiwasingizie hapa kwetu vipi hakuna hayo??mara'' aaah hawa tutafanya makosa makosa yote lakini si kuwapa ikulu''hiyo ni nini??''hawa ni hizbu zanzibar ni ya weusi''hayo mambo mwanadamu kaumbiwa lakini ayashinde.Lile ni taifa teule lilivushwa bahari ya shamu kwa muujiza wa kutisha na Mungu,kuna taifa lilishawahi kufanyiwa hivyo hapa duniani???kwanza hilo neno Israel tu wamepewa si na mwanadamu bali ni Mungu mwenyewe aliwapa kwa nini wasijisikie fahari??
Mjadala huu nimeupenda ila ingependeza sana wachangiaji kuchangia kwa lugha za staha na upendo ili kuelimika badala ya lugha kavukavu za kutaka kushinda.It wasn't by chance
Jamani kwa wanojua sheria na taratibu. Natamani sana kupandisha bendera ya taifa (Tanzania) nyumbani kwangu, je, nitaruhusiwa na sheria, na nitaipataje hiyo flag?
Bado hujaijua Israel mpaka sasa, hilo ni taifa pekee duniani lenye uwezo wa kujitegemea kwa kila kitu na limezungukwa na majirani maadui, bendera ni ishara ya upendo
Weka fungu tusome. nijuavyo Mimi bendera ya Israel ilidizaniwa miezi mitano kabla ya kuwa taifa mwaka 1948. sasa wakati huo biblia ilikuwa tayari imeshaandikwa zamani sana wala haijatabiri kutokea kwa kabendera ka Israel na ndiyo maana hutoweza kutupa mafungu ya biblia kuhusiana na bendera ya IsraelRejea kwenye maandiko matakatifu ya BIBLIA,hapo utafahamu kwa nini watu wanapepeza bendera ya Israel.