Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,649
- 2,911
Ukiataka kujua mgogoro kati ya Palestina na Israel urejee kwenye historia. Wanaolalia kwenye Historia ndio wanaoiunga mkono Israel, na wanaosimamia mikataba na makubaliano ya Umoja wa Mataifa, wanailaani Israel.
Ukirudi kwenye historia ya kale, hilo Eneo lote la Palestina lilikuwa sehemu ya Israel. Baada ya waisrael kutawanyika Duniani kote, Wapalestina waliweza kuyachukua maeneo yote, hata yale ambayo kabla ya Waisrael kutawanyika, yalikuwa yanakaliwa na Waisrael.
Kama ingekuwa ni rahisi, hao wote Waisrael na Wapalestina, wote walistahili kuwa kwenye Taifa moja. Kihistoria kulikuwa na matukio mengi ya Waisrael kushambuliwa na kuuawa na Waarabu kuliko Waarabu kuuawa na Waisrael. Siku zote binadamu akidhulumiwa sana, atatumia muda wake mwingi kujenga ulinzi imara ili uonevu utoweke, na ndiyo walichofanya Waisrael.

linajitegemea kwa kitu gani? hebu fafanua tuelewe. Israel ni nchi inayoongoza kupokea misaada ya kijeshi na kiuchumi kutoka marekani. Kwa afrika Egypt ndiyo inayoongoza. sasa sijui unamaanisha nini unaposema Israel inajitegemea kwa kila kitu?
bendera ya Israel ni ishara ya upendo? hebu weka sawa maelezo yako. maana naona bendera yao ina hexagram/ two inverted triangles iliyopo katikati mistari miwili ya rangi ya blue (two strips of blue colour) na background nyeupe. sasa sijui hiyo ndiyo ishara ya upendo.
Pia nashangaa kuona watu wengi wanaipenda hii bendera sasa sijui ndiyo wanafuata hiyo ishara ya upendo? pia sijui huo upendo unatolewa kwa ishara unamaanisha nini wakati nchi yenywewe inaikalia Palestine kwa mabavu na kuipora ardhi yake mchana kweupe huku ikiweka blockage ya kuingia Gaza hata misaada ya kibinadamu kama madawa na chakula.
Israel ni nchi inayopigana vita ya mara kwa mara, ingawa naweza sema sio vita bali ni kwenda kutuliza mamlaka ya Palestine (maana hadi sasa sio nchi ila inaitwa Palestinian authority) isiyo na jeshi bali ni wanachama wa chama cha siasa cha Hamas ambacho kinatabuliwa kama kikundi cha kigaidi na mataifa ya magharibi.