Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
We inakuathirije ikiwa hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika mapambano bado yanaendelea kuufikia ukombozi halisi kwahiyo bado haijapoteza maana hiyo AK 47, na hata tutakapofikia kuwa na ukombozi wa 100% bado itabaki kuwa kumbukumbu ya alama iliyotuvusha kuifikia Nirvana.Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ?
Clothes Make the Pirate.... Hii kama hujui uneweza kudhani ni bendera ya wauza ngada....
Unajua maana ya Bendera ? Bendera ya nchi ni symbol ya kuonyesha kwa ufupi at a glance nchi.., kwahio kila kilichopo kina maana na kwa Msumbuji AK inaonyesha defense na kipindi wanadesign huenda ilikuwa ni kipindi cha mapambano..., Kwahio Bendera haisadii nchi bali ni symbol ya nchi....Ya kwenu isio kuwa na hio ak 47 inasaidia nini nchi?
Kwahio ni Russian AK 47 ndio itakuwa imetufikisha pa kufika na sio ujemedari wa wananchi ?Afrika mapambano bado yanaendelea kuufikia ukombozi halisi kwahiyo bado haijapoteza maana hiyo AK 47, na hata tutakapofikia kuwa na ukombozi wa 100% bado itabaki kuwa kumbukumbu ya alama iliyotuvusha kuifikia Nirvana.
Ukiongelea Amani kwa Msumbuji nadhani tafuta mwenyewe data (ingawa kukosekana Amani sio sababu ya bendera ni more of a mentality, na huenda ni mentality hio hio ndio inaona fahari ya kuwa na mtutu kama symbol ya defense) kuhusu Uchumi Bendera has got nothing to do with Uchumi..., It's just a SymbolImeathiri vipi uchumi au amani ya hilo Taifa?
CCM mmezoea habari zenu za kuunda kamati ya kubadili jina la katiba wakati Maudhui ni yale yale.
Vyote na jembe la mkono limepitwa na wakati.Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ?
Clothes Make the Pirate.... Hii kama hujui uneweza kudhani ni bendera ya wauza ngada....
Bora Jembe la Mkono linaelezea Uhalisia ambao ni kwamba majority ya wananchi kama ilivyo Tanzania pia ni Peasants (wala huwezi kuwaita farmers); kwahio labda ushauri kwa Afrika kwa ujumla tutupe Mitutu (ya kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa kununua kutoka mataifa ya mbali hence kuwapa biashara) na tuwekeze kwenye ma Combined Harvester ili angalau katika maadui wa kweli watatu (Ujinga, Umasikini na Maradhi) tuweze kupambana nao..., Na hao kwamwe hawaondolewi kwa Mtutu...; Ukizingatia Mtutu huo ni wa Brother killing the Other Brother....Vyote na jembe la mkono limepitwa na wakati.
End justify means, by the way, Mrengo wa siasa ya Mozambique uliegemea upande wa Mashariki zama za Siasa za ujamaa kutoka iliyokuwa USSR (ambapo ndipo ilipozaliwa Russia) na washirika wake.Kwahio ni Russian AK 47 ndio itakuwa imetufikisha pa kufika na sio ujemedari wa wananchi ?
By the way do you know hata UK walikuwa Socialists with Mixed Economy baada ya vita vya Dunia ? Ingawa Ujamaa huo kwa dunia nzima ulikuwa kwenye vitabu tu na sio realistically kama vile ambayo Ubepari unapatikana kwenye vitabu tu na hakuna nchi ambayo ni Capitalists 100 percent kilichopo ni how much the economy is plannedEnd justify means, by the way, Mrengo wa siasa ya Mozambique uliegemea upande wa Mashariki zama za Siasa za ujamaa kutoka iliyokuwa USSR (ambapo ndipo ilipozaliwa Russia) na washirika wake.
Kuonyesha acknowledgement kwenye your country symbols shows dependency..., and I can Argue you can not be well defended kama hata katika hio defense yako ni dependent..., What happens huyo unayemtegemea siku akiwa adui ?Na undani wa nchi nyingi za Africa ujamaa ndiyo siasa yao halisi ila nchi za magharibi zinaenda kudanga tu, kwahiyo bado haiwezi kubadili maana wala kuathiri kwa uwepo wa hiyo AK47, it can also serve as a symbol of acknowledgement.
Shida mara nyingi anapambana na kivuli chake na zile chache zilizobakia ni brother killing the other brother... Karne hii anyway siongelei kipindi cha Colonialism bali kipindi hiki cha Neo Colonialisms na Mental SlavelyMaisha ya mwafrika ni mapambano.
Kuhusu UK na hiyo historia yake haina tija bali tunaangalia uhusika wake katika historia ya Africa. Je, alikuja kama nani katika bara la Africa hicho ndicho kina tija hasa na tutamweka kwenye kundi kutegemea si kwa jinsi alivyo bali namna alivyochangamana na jamii ya Africa.By the way do you know hata UK walikuwa Socialists with Mixed Economy baada ya vita vya Dunia ? Ingawa Ujamaa huo kwa dunia nzima ulikuwa kwenye vitabu tu na sio realistically kama vile ambayo Ubepari unapatikana kwenye vitabu tu na hakuna nchi ambayo ni Capitalists 100 percent kilichopo ni how much the economy is planned
Na notion ya kwamba Russia nido washirika wetu wakati wewe ni sovereign huitaji kuonyesha huo Ushirika kwenye Bendera unless ushirika huo upo reciprocated (na wao wanaonyesha kwenye bendera yao)
Kuonyesha acknowledgement kwenye your country symbols shows dependency..., and I can Argue you can not be well defended kama hata katika hio defense yako ni dependent..., What happens huyo unayemtegemea siku akiwa adui ?
Ingawa mimi naliona hili kwa mapana na sio kwa nchi bali wa Continent as a whole We need Unification na kuwa kitu kimoja..., Na I can Argue AK 47 has been a Weapon of Mass Desctrution as far as African are concerned (A brother killing the other brother) the really enemies ndio wanatuuzia hizo mambo....
Naomba Uzi huu ufungwe kwa comment hii.Mkuu, badala upiganie katiba ya nchi yako sambamba na mifumo mbalimbali ya kiuongozi na kiutawala ambayo haijakaa sawa, unavuka mipaka hadi kwenda kuwasahihisha wana msumbiji ambao wao wanajua kwa nn hiyo AK 47 iko hapo...
Congo wamebadili bendera je imewasaidia nchi kuwa na amani?Wenzao congo dr, rwanda, malawi na wengine walishabadilisha bendera zao. Hii bendera ya msumbiji ibadilishwe tu
Bendera ndio inaleta Amani ?Congo wamebadili bendera je imewasaidia nchi kuwa na amani?
Congo wamebadili bendera je imewasaidia nchi kuwa na amani?
Even vita, has nothing to do with it.Ukiongelea Amani kwa Msumbuji nadhani tafuta mwenyewe data (ingawa kukosekana Amani sio sababu ya bendera ni more of a mentality, na huenda ni mentality hio hio ndio inaona fahari ya kuwa na mtutu kama symbol ya defense) kuhusu Uchumi Bendera has got nothing to do with Uchumi..., It's just a Symbol
Nyekundu ni Historia kwamba walimwaga Damu (You can Not change the Past); Ila unaweza kutumia Past hio kama fundisho kwamba kila ukitaka kufanya uliyofanya yakasababisha kumwaga damu ukumbuke na kuacha kuyafanya....