Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Unajua matumizi ya Bendera ya Rais?Rais akiwa popote ni rais tu lazima atambulike akikaa chamani kwake hajabadirika kutokuwa rais!.
BadilikaRais akiwa popote ni rais tu lazima atambulike akikaa chamani kwake hajabadirika kutokuwa rais!.
Yeye ni Bendera??We umechanganyikiwa na maisha picha hiyo kavaa sare za chama naye ni mwenyekiti wa chama taifa so kuna ubaya gani hapo? Je ingewekwa Ile official kabisa si ungeandamana wewe?
Rais kwa mujibu wa Katiba ya JMT hakuna nukta ambayo hawi rais akiwa ndani ya Jamhuri.View attachment 2720031
Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.
Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.
Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
Mleta mada ni miongoni mwa vijana wanaopambana usiku na mchana huku mitandaoni kuandika ujinga ili kukifurahisha chama fulani na hatimae chama hicho kije kumteua kugombea ubunge ktk uchaguzi mkuu wa 2025.Rais akiwa popote ni rais tu lazima atambulike akikaa chamani kwake hajabadirika kutokuwa rais!.
Yaani hawa ccm sijui wanajionaga kina nani ndani ya hii nchi.View attachment 2720031
Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.
Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.
Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
Wacha ujinga wako wewe,nilini uliwahi kumuona mwl jk Nyerere anaingia na bendera ya serikali ( rais) kwenye vikao vya chama?Rais akiwa popote ni rais tu lazima atambulike akikaa chamani kwake hajabadirika kutokuwa rais!.
imemfuata rais, si ni bendera yake auView attachment 2720031
Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.
Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.
Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
Hilo lijamaa halijui lolote bali linapayuka tu ili mradi aitetee ccmUnajua matumizi ya Bendera ya Rais?
Hapo kwani ameacha kuwa mama wa familia yake?
Mbona watoto wake hawapo kwenye hicho kikao?
Hawezi kubadilika kwani akili zake zimegandaBadilika
we lofa umejulia wapi matumizi yake, we inabidi mlaumu tu mamako kuzaa mburula km weweUnajua matumizi ya Bendera ya Rais?
Hapo kwani ameacha kuwa mama wa familia yake?
Mbona watoto wake hawapo kwenye hicho kikao?
we fala hata unamfahamu Nyerere zaidi kumwona kwenye picha na video zilizorekodiwa. Mnauliza mawaswali ya kipuuzi, tafuteni kazi ya kufanya nyie wapumbavu, yule ni rais na mkuu wa nchi hakuna mnaloweza kubadilisha zaidi ya kuumiza roho zenu kwa chuki ambazo mwisho haziwasaidiiWacha ujinga wako wewe,nilini uliwahi kumuona mwl jk Nyerere anaingia na bendera ya serikali ( rais) kwenye vikao vya chama?
Unalalamika sanaš¤£View attachment 2720031