Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Umeshapata mgao wa dp wewe [emoji23] nitoe hata na kilo mwana[emoji1545]Tulieni
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshapata mgao wa dp wewe [emoji23] nitoe hata na kilo mwana[emoji1545]Tulieni
Tuvunje sheria hizi OVU kwani ndio zinafanya;Rais wa Tanzania ni mtakatifu mwenye kinga ya kutoshtakiwa kwa tuhuma zozote zile.
Hakuna mahakama hata ya kikatiba inayoweza kupokea na kusikiliza mashtaka dhidi yake.
Na hata akitoka madarakani bado hawezi kushtakiwa na hakuna adhabu ambayo anaweza kupewa.
Mgao...😲 Na hamsemiUmeshapata mgao wa dp wewe [emoji23] nitoe hata na kilo mwana[emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana madudu hayaishi uku kwetu.Rais wa Marekani anaweza kushitakiwa kwa tuhuma za uhaini, rushwa, au uhalifu mwingine.
Tuhuma zikithibitika kuwa kweli anaweza kuhukumiwa na kuondolewa madarakani.
Akishaondolewa madarakani bado anaweza kufunguliwa kesi katika mkondo wa kawaida wa sheria.
Rais wa Tanzania ni mtakatifu mwenye kinga ya kutoshtakiwa kwa tuhuma zozote zile.
Hakuna mahakama hata ya kikatiba inayoweza kupokea na kusikiliza mashtaka dhidi yake.
Na hata akitoka madarakani bado hawezi kushtakiwa na hakuna adhabu ambayo anaweza kupewa.
View attachment 2720031
Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.
Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.
Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
Wengine siyo Mazwazwa!!Tulieni
🤣🤣Unajua matumizi ya Bendera ya Rais?
Hapo kwani ameacha kuwa mama wa familia yake?
Mbona watoto wake hawapo kwenye hicho kikao?
Kwanza ni Kwa nini kikao cha chama chake akifanyie Ikulu?Kwa hiyo anapeleka rungu lake la urais kwenye kikao cha chama? mama anapenda udikteta huyu.
Utasikia wajinga wanauliza "ulitaka uende wewe?"Yupo sahihi
Mambo kama hayo ndiyo maana awataki kubadilisha katiba yetu maana si umeona hata kule aliyemwakilisha kwa Mu7, toto yake