Bendera ya Rais kwenye kikao cha CCM imefuata nini?

Wewe unayejidai kumfahamu inaonekana ulikuwa ni mchepuko wake
 
Mwenyekiti wa ccm Aliyepo hapo kwenye kikao ana cheo gani?
 
Hio bendera ya raisi iko wapi?
 
Rais kwa mujibu wa Katiba ya JMT hakuna nukta ambayo hawi rais akiwa ndani ya Jamhuri.

Bendera yake ni uthibitisho wa hadhi na mamlaka ya uraisi popote anapoenda.
Umeelewa hoja wewe?

Kwani hapo yupo kama Rais ama mwenyekiti wa CCM?

Bila ya hiyo Bendera ya Rais kuwepo hapo asingetambulika kama yeye pia ni Rais?
 
Msichanganye madesa.

Rais siyo mwenyekiti wa mtaa. Ameapa kwa katiba ambayo inaelekeza UWEPO wake popote awapo nchini
Siyo kweli wewe.

Kwenye Harusi huwa anakwenda na hiyo bendera??

Ina maana kwenye misiba ya watu huwa anakwenda na Bendera ya Rais?

Huko huwa anakuwa siyo Rais?
 
Hatuendeshi nchi kwa katiba, tunatumia utashi.
 
Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…