Benjamin Fernandes Ni nani?

Benjamin Fernandes Ni nani?

Maprogrammer wakubwa pale silicon valley hawalipwi pesa hiyo kwa mwezi yeye ana kitu gani special muongo wa kihindi huyo
Huyu mchumia tumbo tu naona kila siku yeye ni seminar kwa kwenda mbele....

Hakuna mtu wa kukataa milioni 400 kwa mwezi....
 
Ni mtoto wa mtume Venon Fernandes na pastor kiongozi Anne Fernandes. Kanisa Agape Life Church na walikuwa na TV ATN na kingamuzi cha TING. Kanisa na TV viko Mbezi Jogoo ambapo waliokuwa wanaabudu huko wengi walishakimbia baada ya kugundua waliyoyagundua. Wanasema eti kwao ni Tanga. They are good business people!!!!!!

BAADA YA KUGUNDUA WALIYOGUNDUA NMECHEKAAAAA MPAKA BASI KAZI KWENU MNAOHANGAIKA NA BIASHARA ZA DINI MIMI SIMO KABISAAAAAAAAA
 
Kama wewe umeona me nina wivu kumshauri kijana mwenzangu kwamba ana uwezo mkubwa na anaweza kufanya zaidi ya anachofanya sasa basi nahisi una shida kichwani
Ushauri gani huo anatoa huku anapiga madongo?Kwanini asishauri huku akiwa na staha?
 
BAADA YA KUGUNDUA WALIYOGUNDUA NMECHEKAAAAA MPAKA BASI KAZI KWENU MNAOHANGAIKA NA BIASHARA ZA DINI MIMI SIMO KABISAAAAAAAAA
Hapana Mkuu baadhi ya makanisa au vituo vinavyochipua ni wapigaji tu. Ni biashara kwa kwenda mbele. Waumini wanachunwa to the skinny state. Ni matajiri na waumini wanachechemea. Benjamin na dada yake Benice (sorry if mispelled) walisoma shule ya matajiri Heaven of Peace na baadaye first degree nje na 2nd pia. Najiuliza hao waumini watoto wao wanasoma wapi? My Godness.
 
Ushauri gani huo anatoa huku anapiga madongo?Kwanini asishauri huku akiwa na staha?
Sio madongo ni ukweLi
Shida sisi watanzania hatupendi kuambiwa ukweli
 
Huyu jamaa ni fiksi sana haingii akilini kukata mshahara wa M 400 kwa mwezi na unarudi bongo hakuna Cha maana chochote ulichofanya tukaona M 400 ni hela nyingi sana. kama Median household income ya U.S.A is around U.S.D 50,000 annually
400m kwa mwaka. izo ni mil 30 na kitu, kwa nje sio nyingi kivile
 
Mpaka dakika hii hakuna aliyekuita "Hater" mkuu?, basi itakuwa kweli
 
Mbaya zaidi vyou vya wazungu hutoa scholarship kwa kozi za ajabu ajabu za kupiga mdomo tu na walasio za kuzalisha . Sasa hivi wanaharakati nchini wameongezeka...watu wanafanyia miradi midomoni tuu....ama kuwaambia wezake fanya hivi na vile utapata fedha ....yeye hajawahi kufanya......Tunahitaji kwa sasa kuachana na hawa wanaharakati wa elimu badala yake tuingie phisically mzigoni labda tukishapata fedha tutawaita watufundishe namna ya kuzitumia.
 
Back
Top Bottom