Mil 400 kwa mwezi hebu acha utani mkuu hiyo ni kwa mwakaNi mtanzania aliyekataa Mashahara wa Mil 400 kwa mwezi huko USA Baby.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mil 400 kwa mwezi hebu acha utani mkuu hiyo ni kwa mwakaNi mtanzania aliyekataa Mashahara wa Mil 400 kwa mwezi huko USA Baby.
Mkuu unaifahamu milioni 400 kweli?? Huyu ni mwongo kama waongo wenzake...
Huyu mchumia tumbo tu naona kila siku yeye ni seminar kwa kwenda mbele....Maprogrammer wakubwa pale silicon valley hawalipwi pesa hiyo kwa mwezi yeye ana kitu gani special muongo wa kihindi huyo
Huyu mchumia tumbo tu naona kila siku yeye ni seminar kwa kwenda mbele....
Hakuna mtu wa kukataa milioni 400 kwa mwezi....
Hata kwa Mwaka bado unaona ni kweli? Mil 35 kwa Mwezi ukatae hivi hivi?Mil 400 kwa mwezi hebu acha utani mkuu hiyo ni kwa mwaka
Mshamba kweli huyoDah "mimi ni mtanzania wa kwanza kusoma Harvard"
huyo dogo muongo tuHata kwa Mwaka bado unaona ni kweli? Mil 35 kwa Mwezi ukatae hivi hivi?
Angeleta chai nyingine sio ile ambayo haina hata sukari....35m per month sio pesa ya kitoto.huyo dogo muongo tu
Ni mtoto wa mtume Venon Fernandes na pastor kiongozi Anne Fernandes. Kanisa Agape Life Church na walikuwa na TV ATN na kingamuzi cha TING. Kanisa na TV viko Mbezi Jogoo ambapo waliokuwa wanaabudu huko wengi walishakimbia baada ya kugundua waliyoyagundua. Wanasema eti kwao ni Tanga. They are good business people!!!!!!
Ushauri gani huo anatoa huku anapiga madongo?Kwanini asishauri huku akiwa na staha?Kama wewe umeona me nina wivu kumshauri kijana mwenzangu kwamba ana uwezo mkubwa na anaweza kufanya zaidi ya anachofanya sasa basi nahisi una shida kichwani
Hapana Mkuu baadhi ya makanisa au vituo vinavyochipua ni wapigaji tu. Ni biashara kwa kwenda mbele. Waumini wanachunwa to the skinny state. Ni matajiri na waumini wanachechemea. Benjamin na dada yake Benice (sorry if mispelled) walisoma shule ya matajiri Heaven of Peace na baadaye first degree nje na 2nd pia. Najiuliza hao waumini watoto wao wanasoma wapi? My Godness.BAADA YA KUGUNDUA WALIYOGUNDUA NMECHEKAAAAA MPAKA BASI KAZI KWENU MNAOHANGAIKA NA BIASHARA ZA DINI MIMI SIMO KABISAAAAAAAAA
400m kwa mwaka. izo ni mil 30 na kitu, kwa nje sio nyingi kivileHuyu jamaa ni fiksi sana haingii akilini kukata mshahara wa M 400 kwa mwezi na unarudi bongo hakuna Cha maana chochote ulichofanya tukaona M 400 ni hela nyingi sana. kama Median household income ya U.S.A is around U.S.D 50,000 annually
NI kwa mwakaHuyu mchumia tumbo tu naona kila siku yeye ni seminar kwa kwenda mbele....
Hakuna mtu wa kukataa milioni 400 kwa mwezi....
Hiyo 400m anadai ni per month mkuu. Dogo ni mtu wa show off sana.Angeleta chai nyingine sio ile ambayo haina hata sukari....35m per month sio pesa ya kitoto.
Dogo Ni NYUMBU tu Kama ENDLESS FEMU.Hiyo 400m anadai ni per month mkuu. Dogo ni mtu wa show off sana.
Okay sawa!Yaani hii kukataa mshahara ndo imekuwa wimbo kwake, kila seminar
Ni mtoto wa mchungaji Fernandez nilikuwa namuona kwenye channel ya ATN sijui kama siku hizi bado ipo