Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

Asante kwa wosia
 
Mzee Mkapa alikuwa kielelezo cha unafiki wa ccm
 
Mbona yeye alishindwa kuiweka hiyo tume
Watawala wa kiafrica upofu uwatoka pindi mfumo ukiwatupa.Ukuyaona ya mugabe kupigia kura upinzani ili ushinde kwa tume kandamizi aliyoianzisha mwenyewe, dunia duara.Si ajabu jiwe na bashite ukawakuta wamejiunga CDM au ACT pale mfumo ukiwatupa huku wakitaka tume huru.
Membe,Lowasa,Sumaye,Mkapa leo wanatamani tume huru katiba mpya baada ya mfumo kuwatupa Hali walikuwa kwenye mfumo wa kuleta mabadiliko.
Inasemwa hivi "tetea sheria kandamizi ukiwa huru ili siku ukiwa mfungwa ikufae.Usipande miba njiani kesho zamu yako itakuchoma
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…