Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Wewe umepatia wapi taarifa hizi na chanzo kipi ?Mazayuni ni waongo wa ajabu.
Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.
Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Jaribu kuwa mtu mzima na ujielewe kidogo.Marekani ndio dunia yenyewe au unaongelea dunia ipi? Ndio nchi yenye ushawishi zaidi duniani, anauwezo wa kuiwekea nchi yoyote vikwazo, marekani ikishatambua kundi kuwa la kigaidi inatosha haijalishi sijui Russia au Iran itapinga, Lebanon ni nchi ina jeshi lake hakuwezi kuwa na majeshi mawili ndani ya nchi moja ni magaidi hayo usiyafiche mkuu, habari sijui za BBC kulazimishwa ni uongo mtupu.
2006 Israel alipoingia Lebanon kilimkuta nini!??Hata gaza mlisema hivyo hivyo lakini waliingia
Lete taarifa hata moja inayotangaza Hamas as a terror group BBC!?BBC ipi unaiongelea wewe?
BBC kila nikiifuatilia Hammas wanaitaja kama kikundi cha kigaidi
Subirini kwanza mfinywe kisawasawa ndipo baadaye mtakuja na historia zenu na lawama kwa westerners kama ilivyo kawaida yenu siku zote, halafu tutajadiliana na hao watakaosalia kwenye huu mtanange unaoendelea sasa.Machafuko yote hapo mashariki ya kati yalikuja baada ya ujio wa Westerners na kuundwa kwa Israel zionism regime.
Sema ninyi wafinyu wa historia.
Jidanganye,uliza 2006 Israel kilimkuta nini Bint Jubeir!?Subirini kwanza mfinywe kisawasawa ndipo baadaye mtakuja na historia zenu na lawama kwa westerners kama ilivyo kawaida yenu siku zote, halafu tutajadiliana na hao watakaosalia kwenye huu mtanange unaoendelea sasa.
Kwa Hali ilivyo ni wazi Lebanon inaongozwa na Hizbullah huyo Wazir mkuu na serikali yake hawana nguvu mbele ya hao jamaa na siku sio nyingi Hizbullah itajitwika mazima Lebanon labda Israel afanye jambo.Aaaah mzee Mkubwa; Wewe hujiulizi katika hali ya kawaida inakuwaje
"Hezbollah is a Lebanese Shia Islamist political party and paramilitary group, led since 1992 by its Secretary-General Hassan Nasrallah." i.e. hiki ni Kikundi ndani ya nchi, halafu sasa kinajipa madaraka makubwa ya kuanzisha vita au kuiingiza nchi nzima kwenye machafuko makubwa kiasi hicho? Yan kwa maneno mepesi ni kwamba kundi la Hezbollah "limeiteka Lebanon" na linafanya kama linavyoona inafaa kufanya. Kwani Lebanese Armed Forces wako wapi?
Je, kuna makubaliano baina ya Hezbollah na LAF?
Hesabu hili limekaaje Time line 2006 = 2024?????2006 Israel alipoingia Lebanon kilimkuta nini!??
Kawaida yako kuhamisha magori.Kitu ambacho mkuu hujakifahamu ama hujakipata ni kwamba NETANYAHU ndiye anayelazimisha vita.
Viongozi wenzake wote washaona vita hizi zimewaelemea.
Hata Rais wao Isaac alishaenda kinyume na kauli za Netanyahu mara nyingi tu.
Netanyahu wants to keep his face up that's why he insists on going on with the war.
Ila hata Yoav Gallant anafahamu kuwa hali mbaya.
Usiwe kama mlevi, hiyo marekani pale UN kura yake moja tu ilitosha kuvuruga kikao kizima kuihusu Palestine, subiri na kwa Lebanon, dunia inaitambua Lebanon na jeshi lake, hao Hezbollah ni magaidi kama Hamas tu, hata aina ya upiganaji wao unajionyeshaJaribu kuwa mtu mzima na ujielewe kidogo.
USA ni USA dunia ni dunia.
Hayo mambo ya vikwazo yashapitwa na wakati.
Kama ingekua vikwazo ndio tishio basi mataifa 124 yasingepiga kura dhidi ya Israel kwenye kikao cha UNGA.
Diplomasia haziendi hivyo eti Marekani akisema amesema.
😂😂😂😂Aiseee unanichekesha sana.
*Hizbollah ni political organisation inayojitegemea hadi kisilaha sio magaidi.
Hao Hizbollah 2006 ndio walioiokoa Lebanon isiporwe ardhi na Israel.
Usiwe unaropokwa tu kama umelewa.
Dunia haiitambui Hizbollah kama magaidi,USA sio dunia,ameitambua USA ila mataifa zaidi ya 130 yamekataa.
Embu kajifunze geopolitics ndio ukuje hapa tusichoshane akili.
Ulijiuliza kwanini Hizbollah iliundwa!??Aaaah mzee Mkubwa; Wewe hujiulizi katika hali ya kawaida inakuwaje
"Hezbollah is a Lebanese Shia Islamist political party and paramilitary group, led since 1992 by its Secretary-General Hassan Nasrallah." i.e. hiki ni Kikundi ndani ya nchi, halafu sasa kinajipa madaraka makubwa ya kuanzisha vita au kuiingiza nchi nzima kwenye machafuko makubwa kiasi hicho? Yan kwa maneno mepesi ni kwamba kundi la Hezbollah "limeiteka Lebanon" na linafanya kama linavyoona inafaa kufanya. Kwani Lebanese Armed Forces wako wapi?
Je, kuna makubaliano baina ya Hezbollah na LAF?
Sijahamisha magoli bali wewe ndio unaona hivyo mister.Kawaida yako kuhamisha magori.
Hoja ni Israel kuchakazwa na hezbollah au hezbollah kuchakazwa na Israeli.
Hayo ya anaetaka vita yanaingiaje?
Balaza la mawaziri limeruhusu vita iendelee.
Waziri wa fedha unajua ni mtu wa aina gani? Unajua upinzani aliokuwa nao dhidi ya PM? Je umefatilia kauli yake ya jana kuhusu hiyo vita?
Kiu ni kali sana hapo jamgwani, time will tell.
PorojoMachafuko yote hapo mashariki ya kati yalikuja baada ya ujio wa Westerners na kuundwa kwa Israel zionism regime.
Sema ninyi wafinyu wa historia.
Habari za historia! kwani hakuna mabadiliko? Tumetoka wapi, tuko wapi, na tuenaelekea wapi, na je, tutafika? Ngoja mwendelee na 2006 ilhali ukweli sasa ni 2024 tunaelekea mwishoni.Jidanganye,uliza 2006 Israel kilimkuta nini Bint Jubeir!?
Kama kawaida yake!,wanadai Hamas na Hisbullah wanajificha nyuma ya Wanawake na watoto haliyakuwa wao wenyewe watawala wa Israel wanapiga magoti nyuma ya Wanaume wenzao!.Halafu baada ya hapo ataiomba USA, UK, Germany Jordan, Saudi Arabia n. zimlinde.
Huyo huwa anazusha tu.Wewe umepatia wapi taarifa hizi na chanzo kipi ?
Kwa mantiki hiyo; vita iliyopo uwanjani kwa sasa ni Lebanon vs Israeli?Ulijiuliza kwanini Hizbollah iliundwa!??
Au mzee unaongea tu!?
Unadhani Lebanese government haiitambui Hizbollah na kuikubali!?
Unajua ni mapigano mangapi Hizbollah imeiokoa Lebanon isimegwe na Israel!??
Hivi unajua kama kuna mgawanyo wa madaraka kwa makubaliano hapo Lebanon kati ya shia,sunni na wakristo!?
Hivi unajua kama jeshi la Lebanon na Hizbollah wanashirikiana na wanachangia baadhi ya kambi!?
Hivi unajua kama 2006 wakristo walijiunga ndani ya Hizbollah kupigana dhidi ya Israel pale Bint Jubeir!??
Israel ina hali mbaya ila Netanyahu wants to save his face.Kabisa, US kutaka suruhu haimaanishi Israel ana hali mbaya.
Anajaribu kurudisha imani kwa wengine na kulinda masoko yake.
Kwa mantiki hiyo hiyo Israel inaongozwa na mihemko ya Netanyahu ndio maana anapingana hadi na wenzake nini wanahitaji.Kwa Hali ilivyo ni wazi Lebanon inaongozwa na Hizbullah huyo Wazir mkuu na serikali yake hawana nguvu mbele ya hao jamaa na siku sio nyingi Hizbullah itajitwika mazima Lebanon labda Israel afanye jambo.