imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Au hizo Ngono za huko ni kwa ajili reproduction au zitakuwa za kustarehe.Hadi kuna wakati unashindwankuelewa kwamba huku kwa mungu nako ngono itaendelea na kuzidi๐๐๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au hizo Ngono za huko ni kwa ajili reproduction au zitakuwa za kustarehe.Hadi kuna wakati unashindwankuelewa kwamba huku kwa mungu nako ngono itaendelea na kuzidi๐๐๐๐๐๐๐
Yaani ๐๐๐Au hizo Ngono za huko ni kwa ajili reproduction au zitakuwa za kustarehe.
Gaza tuliambiwa hivi, baada ya muda vilio vikaanza mara ni wanawake na watoto. Israel kashasema Lebanon itarudi zama za mawe.Kwa vita ya aridhini yahudi anaenda kupigika
Hoja ya kijinga kabisa hii. Mwenza wako akikamatwa na mwenye nguvu unanyamaza na kukaa kwa adabu? Himaya yako ikivamiwa na mwenye nguvu unanyamaza na kukaa kwa adabu?Hawa Waarabu walitakiwa kukubari kwamba hawawezi kushindana na Israel, then wakae kimya Kwa Adabu.
Zama za mawe ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญGaza tuliambiwa hivi, baada ya muda vilio vikaanza mara ni wanawake na watoto. Israel kashasema Lebanon itarudi zama za mawe.
Kaasisi nini na kajitoa wapi?Kwamba hujui uhusika wa Qatar kweny hii vita ? Au kisa kajitoa ndo unasahau yeye ndo muasisi wa haya yanyoendelea Sasa hv
Wameishiwa. Wameshindwa na kijikundi kidogo cha Hamas Ghaza, watawaweza Hezbollah?
Tazama moto wanaopelekewa, hautangazwi huu na media za kishetani.
View: https://youtube.com/shorts/RpsPEYKB68Y?si=tZ2WL4I3MgNhdZPf
Ndio.Hizbullah?
Akili anayo ila kwa maksudi hataki kuitumia. Wala hajishughulishikujua yanayoendelea nje ya box e.g. Lebanon mjini Beirut, jioni hii 27/09/2024 ni vilio na taharuki baada ya central command ya Hezbollah kugeuzwa kuwa kifusi. Yeye bado anazungumzia Hamas ambayo tayari iko kwenye History department.Kwamba Hamas wnasumbua ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Kwamba Hamas wnasumbua ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Nani anakudanganya kuwa Palestina wanagombania dini?Kwamba Hamas wnasumbua ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Elewa kinachozunumziwa. Mapigano sio ya kugombania dini - la hasha. Ila dini inatumika kama shinikizo la kuhamasisha mapigano yaendelee kuwapo. Hayo makundi mawili i.e. HAMAS na Hezbollah yanatumia dini kama kitu cha kuhamasiha hata makundi mengine yajiingize katika mapigano e.g. Hauths eti wanawaunga mkono na wanawasaidia umma wa mnyaazi mungu dhidi ya mazayuni.Nani anakudanganya kuwa Palestina wanagombania dini?
Ukweli kabisa. Yumo ndani kiroho na kiakili. Anatoa msaada wa hali na mali e.g. anawapelekea silaha, anatoa mafunzo ya kijeshi, anasaidia ununuzi wa baadhi ya silaha na vifaa vingine vya kijeshi na anawahifadhi viongozi wao.Sawa mkuu. Ila haibadili kuwa Iran yumo ndani.
Kwanini wasifuatwe huko kwenye vichuguu ili wasambaratishwe ?Hao hamas wameshindikana kivipi wakati mpk muda huu wanaishi kwenye vichuguu? Jipe muda kidogo utasikia milio na huko Lebanon
Eti unasemaje mkuu? Naona sasa umeamua kumfagilia mwarabu.Unazungumzia nchi au asili!?
Kama ni asili hii Tanzania yako inalishwa na mwarabu na uchumi wake unaongozwa na mwarabu.
Kama unakataa sema tuchambue.
Muda kidogo uliompa umekwisha. Mwambie asome up to date info. za Hezbollah vs Israel. Tayari wanalia sana na kusaga meno na wamechanganyikiwa huko Beirut.Hao hamas wameshindikana kivipi wakati mpk muda huu wanaishi kwenye vichuguu? Jipe muda kidogo utasikia milio na huko Lebanon
Wameweka watoto na wanawake wasio na hatia hapo. Pamoja na kuwa vita haina macho lakini bado Myahudi anatumia weledi kupunguza idadi ya vifo kwa raia. Subiri tu muda si mrefu utasikia IDF kashawapasua.Kwanini wasifuatwe huko kwenye vichuguu ili wasambaratishwe ?
Yeah. Kwa busara tu "wampotezee" Myahudi au watafute njia nyingine mbadala wa hilo fungu walilojichagulia. Wanaumizwa mno yan.Hawa Waarabu walitakiwa kukubari kwamba hawawezi kushindana na Israel, then wakae kimya Kwa Adabu.
Wewe ni mjingaWameweka watoto na wanawake wasio na hatia hapo. Pamoja na kuwa vita haina macho lakini bado Myahudi anatumia weledi kupunguza idadi ya vifo kwa raia. Subiri tu muda si mrefu utasikia IDF kashawapasua.