Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Hadi kuna wakati unashindwankuelewa kwamba huku kwa mungu nako ngono itaendelea na kuzidi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Au hizo Ngono za huko ni kwa ajili reproduction au zitakuwa za kustarehe.
 
Hawa Waarabu walitakiwa kukubari kwamba hawawezi kushindana na Israel, then wakae kimya Kwa Adabu.
 
Israel peleka moto kwa wavaa kobaz mpaka wa ombe suluhu
 
Hawa Waarabu walitakiwa kukubari kwamba hawawezi kushindana na Israel, then wakae kimya Kwa Adabu.
Hoja ya kijinga kabisa hii. Mwenza wako akikamatwa na mwenye nguvu unanyamaza na kukaa kwa adabu? Himaya yako ikivamiwa na mwenye nguvu unanyamaza na kukaa kwa adabu?
 
Kwamba Hamas wnasumbua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Akili anayo ila kwa maksudi hataki kuitumia. Wala hajishughulishikujua yanayoendelea nje ya box e.g. Lebanon mjini Beirut, jioni hii 27/09/2024 ni vilio na taharuki baada ya central command ya Hezbollah kugeuzwa kuwa kifusi. Yeye bado anazungumzia Hamas ambayo tayari iko kwenye History department.
 
Kwamba Hamas wnasumbua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Kwamba Hamas wnasumbua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Nani anakudanganya kuwa Palestina wanagombania dini?
 
Nani anakudanganya kuwa Palestina wanagombania dini?
Elewa kinachozunumziwa. Mapigano sio ya kugombania dini - la hasha. Ila dini inatumika kama shinikizo la kuhamasisha mapigano yaendelee kuwapo. Hayo makundi mawili i.e. HAMAS na Hezbollah yanatumia dini kama kitu cha kuhamasiha hata makundi mengine yajiingize katika mapigano e.g. Hauths eti wanawaunga mkono na wanawasaidia umma wa mnyaazi mungu dhidi ya mazayuni.
 
Sawa mkuu. Ila haibadili kuwa Iran yumo ndani.
Ukweli kabisa. Yumo ndani kiroho na kiakili. Anatoa msaada wa hali na mali e.g. anawapelekea silaha, anatoa mafunzo ya kijeshi, anasaidia ununuzi wa baadhi ya silaha na vifaa vingine vya kijeshi na anawahifadhi viongozi wao.
 
Hao hamas wameshindikana kivipi wakati mpk muda huu wanaishi kwenye vichuguu? Jipe muda kidogo utasikia milio na huko Lebanon
Kwanini wasifuatwe huko kwenye vichuguu ili wasambaratishwe ?
 
Unazungumzia nchi au asili!?
Kama ni asili hii Tanzania yako inalishwa na mwarabu na uchumi wake unaongozwa na mwarabu.
Kama unakataa sema tuchambue.
Eti unasemaje mkuu? Naona sasa umeamua kumfagilia mwarabu.
 
Hao hamas wameshindikana kivipi wakati mpk muda huu wanaishi kwenye vichuguu? Jipe muda kidogo utasikia milio na huko Lebanon
Muda kidogo uliompa umekwisha. Mwambie asome up to date info. za Hezbollah vs Israel. Tayari wanalia sana na kusaga meno na wamechanganyikiwa huko Beirut.
 
Kwanini wasifuatwe huko kwenye vichuguu ili wasambaratishwe ?
Wameweka watoto na wanawake wasio na hatia hapo. Pamoja na kuwa vita haina macho lakini bado Myahudi anatumia weledi kupunguza idadi ya vifo kwa raia. Subiri tu muda si mrefu utasikia IDF kashawapasua.
 
Hawa Waarabu walitakiwa kukubari kwamba hawawezi kushindana na Israel, then wakae kimya Kwa Adabu.
Yeah. Kwa busara tu "wampotezee" Myahudi au watafute njia nyingine mbadala wa hilo fungu walilojichagulia. Wanaumizwa mno yan.
 
Wameweka watoto na wanawake wasio na hatia hapo. Pamoja na kuwa vita haina macho lakini bado Myahudi anatumia weledi kupunguza idadi ya vifo kwa raia. Subiri tu muda si mrefu utasikia IDF kashawapasua.
Wewe ni mjinga
 
Back
Top Bottom