secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Bado nilikuwa sijaanza kusoma kitabu cha Mzee Mengi sasa tena kimekuja cha Mkapa nina homework kubwa.Unajua mtu anapokufa naturally kuna stage za kifo anazipitia,hapo ndo watu huanza kuandika vitabu baada ya kuona dalili
Kafa bila kuomba radh kuhusu kauli hiyo.Dah RFA, wakati wakitangaza msiba, asubuhi hii.
Wamerudia kutusikilizisha kauli yake ya "wapumbavu na malofa"
Lakini si wote tunaishia kaburini?Ya kwetu isiyopeperusha bendera nusu mlingoti. Happy now?
Naungana na weweKifo chake huenda kikamrahisishia yule mlevi wa madaraka mpango wake wa kubaki madarakani, mda utaongea zaidi
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Tuishi vizuri na watu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
That is your perspectiveUme- Generalise sana kama vile unataka kumsafisha mtu fulani!!!!!
Labda awamalize kina JK, kinana na Mangula.Kifo chake huenda kikamrahisishia yule mlevi wa madaraka mpango wake wa kubaki madarakani, mda utaongea zaidi
Lakini si wote tunaishia kaburini?
na hata uonewe vipi utie huruma uwezavyo.Hata uwe MBABE na MBINAFSI wa viwango vyote, HAKIKA KUFA UTAKUFA TU...!
Hata wanadamu wakupe SIFA zote unazostahili na zote za KINAFIKI kama apewazo Rais wa sasa, Bw. Magufuli, HAKIKA KUFA UTAKUFA TU!
Wanaweza kujitungia sheria zote za KUJILINDA ili WASISHITAKIWE kwa makosa yao (kulinda uovu wao - kibinadamu), lakini hakuna sheria itakayotungwa duniani ama mbinguni kuzuia VIFO VYAO...