TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Tunaweza poteza viongozi wengi sana kwa namna hii..

Na hivi maskini ya Mungu wakiingia getini pale no one wears masks ......imekua kawaida sasa tunawaweka wazee wetu kote nchini kwenye hatari kwenye mikusanyiko bila tahadhari tena kwenye matukio yanayochukua muda mrefu
 
Ni msiba mkubwa kwa Taifa na Chama cha Mapinduzi kwa ujumla. Kwa hiyo nashauri ili kumuenzi mkiti mstaafu wa chama wasitishe uchaguzi wao wa ndani.
 
Mwendo umeumaliza, Lala Salama BWM😢🙏
 
View attachment 1515334

Rais Magufuli kwa masikitiko amesema mzee Mkapa amefariki katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa amelazwa.


Mkapa alikuwa Rais wa Tanzania kuanzia 1995 hadi 2005...
Mbona Mh. J PM ana penda sana siri? Yaani hata hosipatali aliyo lazwa ni siri? Juzi tulimuona Mh. Ben Dodoma akiwa mzima mbona gasemi aliugua nini ghafla?

Sioni afya kwenye hizi siri za hii serikali..
 
MKURUGENZI WA MAWASILIANO ANALETA TAARIFA ISIYOKAMILIKA NA ISIYO NA HADHI YAKE. SASA KWANINI HIYO HOSPITALI ISITAJWE KWA JINA? DAR ES SALAAM KUNA HOSPITALI NYINGI SANA! NI HOSPITALI IPI?
 
MKURUGENZI WA MAWASILIANO ANALETA TAARIFA ISIYOKAMILIKA NA ISIYO NA HADHI YAKE. SASA KWANINI HIYO HOSPITALI ISITAJWE KWA JINA? DAR ES SALAAM KUNA HOSPITALI NYINGI SANA! NI HOSPITALI IPI?
Hataki muanze kuwatafuta ndugu zenu kwenye hiyo hospitali kuanza kuulizia ugonjwa ....kama kabanwa na kifua au la .....maana ugonjwa ni siri ya mgonjwa ......HOSPOTALI NI SIRI
 
Apumzike kwa Amani. Hivi kwa nini vifo vingi vya kuugua vinatokea usiku?
 
Apumzike kwa amani, alale kwa amani baba Benjamin. Raha ya milele umpe na mwanga wa milele umwangazie ee bwana Mungu wa mbinguni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…