TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Mwamba wa CCM mbuyu umeondoka sijui CCM itakuwa na Hali gani hasa Zanzibar. Sote tu wapangaji duniani kuna haja gani kuwatesa, kuwatendea mabaya wengine sababu ya tumbo?
Ccm ni taasisi, haitegemei mtu mmoja kama ilivyo kwa chadema kumtegemea Mbowe pekee!
 
Hata Ukijua itakusaidia nini pia??Unataka uende kuosha mwili wa Marehemu au vipi??
Kwani kila unachokijua huwa kinakusaidia kusikiliza taarifa za habari za china au mataifa mengi huwa vinakusaidia nini? Si kila unachokisikia lazima kikusaidie wewe binafsi wapo wengine vinawasaidia
 
Wewe umekariri unachojua mwenyewe hata ukipewa taarifa zozote huwezi kuamini
Nikipewa taarifa na mtu kama wewe siwezi kuaamini nikipewa taarifa na source inayoeleweka nitaamini. Wewe Minyoo na minyoo yako toka 2015 tuko wote hapa nakufahamu upo mlengo gani kwahiyo haya mambo unayoyaleta hapa ni kazi yako ambayo unayo toka kipindi hiko wakongwe kama mimi humu wala sikushangai na uzushi wako.
 
Kama ni Mzee wako ndo usubiri sasa utapewa taarifa tatizo lipo wapo??Kwenye Kuzika watu wanasomaga wosia utasomewa na utaambiwa amefariki kwa kitu gani simple like that.
Wosia wakati mwingine huchakachuliwa inaelekea wewe ni mkapa Mdogo mpe taarifa acha kuficha ficha taarifa kwa visingizio visivyo na mashiko
 
Pumzika kwa amani mzee wetu #Mkukuta#Mkurabita
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe
 
Pumnzika kwa amani BWM.

Tutakukumbuka kwa kuchelewesha maisha bora kwa kila Mtanzania hasa pale ulipouza viwanda vyote, kubinafsisha Taneso , NBC kwa South Africans wakashindwa na kuliacha taifa lisilokuwa na uwezo wa umeme wala safari za uhakika kwa ndege na kuua kabisa uchumi wa Tanzania.

Watanzania walikuamini lakini ukawasaliti hata mara ya mwisho mwalimu alikwambia utabinafisha magereza. Hukuweza kuvaa viatu vya uraisi vizuri.
 
Lugha ya Kingereza imeondoka na mtu wake
IMG-20200724-WA0000.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom