Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Pumzika panapo stahili babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya tuonane!Siku hizi ana tahadhari sana na yanayotoka kinywani mwake.
sasa kama mnavyanzo vyenu mnataka taarifa nyingine za nini??
Wana CCM na taifa kwa ujumla. kaeni mtulie tuzike kwanza.Ni kweli, ila ni msiba wa wanaccm.
Kila mtu aamini chanzo chake, wewe na wenzio aminini hivyo vyanzo vyenu na sisi wengine tutaamini vyanzo vyetu hatuhitaji mtuaminishe kwamba yatakayosemwa ni kweli ama uongo maana tushakubali hivyo vyanzo kwetu ndo sahihi kama nyie mlivoamini vyanzo vyenu mnavovijua.Tunawashangaa mnaokanusha taarifa za ukweli. Ndio maana tunasubiri hizo taarifa za kupika v/s za ukweli.
That is true!! Huwa wakati mwingine sisi waswahili tunakuwa wanafiki; unakuta mtu anakufa akiwa na miaka 💯+ eti ndugu wanalia!! Badala ya kumshukuru Mungu kwa upendeleo wa kumpa umri huo, tena inatakiwa ifanyike sherehe kubwa watu wale wafurahi.Kibaya sio kutangulia kama umri unaruhusu. Kibaya ni kijana kutangulia na jinsi anavyotangulia. Simanzi ni pale mtu anapoondoka bila kurealise potential yake. Kwa mfano mtoto wa CDF japo sikumjua, nilisikitika kwakuwa alikuwa kijana mdogo with his whole life ahead of him. Pia jinsi alivyoondoka nilijiweka kwenye nafsi yake, nikaumia.
Mzee Mkapa amepitiliza maisha ya kuishi. Tumeshauona mchango wa nguvu zake hapa duniani. It´s ok apumzike.
Dah kweli! hivi kuna ka ukweli eti ndiye aliye muuingiza Jiwe ikulu kuokoa jahazi pale chamwinoHili ni pengo kubwa sana kwa Taifa letu. Hakika MOLA wetu ndiye alitoa, na pia ndiye ambaye amemtwa mja wake. Jina lake BWANA na likapate kuhimidiwa. Amen [emoji120] Pole nyingi sana kwa familia yake, na pole nyingi pia kwa Watanzania wote ambao wanaguswa na msiba huu mzito.
Wewe ni daktari wake kuweza kujua ameanza kupona?Kwani mwenye Kisukari hatembei?mwenye ukimwi hatembei?mwenye TB hatembei? Lissu alipigwa risasi alikua hawezi kutembea alikua ni wakitandani kwahiyo stage aliyofikia yakutembea ni dalili kuwa ameanza kupona janga lilimkumba.
Anasema yeye anapambana na madawa ya kulevya iende mbereeeeeeeee kwa kasi ya awamu ta 5.Kwani Bashite anasemaje kuhusu kifo hiki?
Mkapa hana miaka hiyo. Ila miaka 80 bado. Mwinyi ana tisini na ngapi sijui lakini bado yupo vizuri kila sikubyupo nDodoma kwenye shughuli za Magufuli85+yrs.. life well lived bro
Rest Easy Ben
Umekakopi wapi haka?Until we take our final breath you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!
R.I.P