ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Mwaka mgumu sana huu kwa CCM! Poleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana CCM na taifa kwa ujumla. kaeni mtulie tuzike kwanza.
Hakuna tena mtu mwenye ujasiri wa kutaka hadharani kusema kama mkapa. Mfano juzi juzi akiongelea haja ya kuwa na tume huru ya uchaguzi. JK na wenzake ni wanafiki tuLabda awamalize kina JK, kinana na Mangula.
Aliyekuwa na sauti ya mwisho CCM baada ya Nyerere alikuwa ni Mkapa then JK. Sasa Mkapa amefariki it’s obvious anaeenda kuwa na ushawishi CCM ni Jakaya Kikwete...
Eti mi numeshaisahau hiyo kauli, sijui uzeeTutakukumbuka kwa kauli yako Konki ya jangwani 2015 bila kusahau kututangazia kifo cha muasisi wa taifa hili tukufu la Tanzania.
Yupo wapi?Siyo Membe tena?
Mtoto wa CDF yupiKibaya sio kutangulia kama umri unaruhusu. Kibaya ni kijana kutangulia na jinsi anavyotangulia. Simanzi ni pale mtu anapoondoka bila kurealise potential yake. Kwa mfano mtoto wa CDF japo sikumjua, nilisikitika kwakuwa alikuwa kijana mdogo with his whole life ahead of him. Pia jinsi alivyoondoka nilijiweka kwenye nafsi yake, nikaumia.
Mzee Mkapa amepitiliza maisha ya kuishi. Tumeshauona mchango wa nguvu zake hapa duniani. It´s ok apumzike.
Mkapa on presidential term-limitsKama kweli sisi watanzania SI WANAFIKI basi ni muda muafaka sasa wa kuyachukua yote aliyoyasema Mkapa mwenyewe katika kitabu chake kama challenges za uongozi na kuyafanyika kazi kama njia bora ya kumuenzi.
Kukaa siku 7 hata siku 365 na robo msibani / Maombolezo haisaidii kitu kama mawazo yake hasa anayoyajutia kipindi cha uongozi wake hayatafanyiwa kazi na viongozi wa sasa. ( Reference is made..... - My life - My purpose)
Kubwa kabisa alilolitamka Marehemu ni uwepo wa TUME HURU YA UCHAUGUZI - pia alijutia saana MAUAJI ya watu wasio na HATIA kule Zanzibar.
Hili la Tume Huru kama sisi tu wakweli basi ndilo la kuanza kulifanyika kazi mara moja.
Hivi tuna CDF wangapi?Mtoto wa CDF yupi
Kuna Mabeyo wa Sasa na yule aliyestafu wa MbeyaHivi tuna CDF wangapi?