Me mwnyw nilikuwa nachek TBC then nkakuta mzee baba yuko mbele ya tv yangu anayasema hayo lkn hajafunguka mengi kuhusu msiba wetu huuMbona maTV yanaendelea na Mambo Yao?
Alale Pema Peponi
Apumzike kwa Amani
Na bado wengi wanakufa kabla hata umri wa kustaafu haujafika. Naye maisha aliyoandikiwa hapa duniani kayamaliza.Mbona wengi tu wanaishi hadi miaka 100 na ushee? Kwanini isiwe Mkapa? 😳😳😳
Hata Mimi naona huwa wanawaza kuacha legacy aiseeHaya mambo ya kuandika vitabu vya maisha yako ni kama kujiitia kifo
Kweli ndugu yangu; life expectancy ya watanzania ni miaka 66. Nyerere alikufa akiwa na miaka 77, Ruge alikufa akiwa na miaka 49, Amir Jamal alifariki na miaka 73, na Iddi Simba alikuwa na miaka 75. Kwa umri wa miaka 80 kweli hatuhitaji kutafuta mchawi tena.Mtu wa miaka zaidi ya 80 akifa nako lazima awe anaumwa?