Nenda kanunue treasury bonds za BOT ni uhakika mwingiWadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?
Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5
Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.
Natangaluza shukrani
Usiangalie riba tu lazima uangalie na Risk unayochukua hiyo benki ikifilisika unalipwa na insurance yake minimum kiasi gani!! The higher the interest rate the higher the risk!! Hali ya kiuchumi duniani ni mbaya sana mabenki mengi yanafilisika.Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?
Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5
Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.
Natangaluza shukrani
Umerudi na id mpyaKama uko serious nikupe mchongo ila posh nataka elf 50 tu nakuonganisha na mzee wangu yupo anafanya ofis kubwa mjinii na ofisnii kwao huwa wanaekeza kama hvy unavy taka
Unajua haya mabank yanakopesha kwa riba ya asilimia ngapii?Ze higher the FD rate,the more posibility to loose the investment.
Ask yourself why are they attracting you with the higher rates.
Think deep,decide
Na kuna wengine kwa kutokuwa na huo ukwasi ndio maana wanakuvutia kwa rates ndefu,wakishindwa kuzungusha shida ndio inaanzia hapoUnajua haya mabank yanakopesha kwa riba ya asilimia ngapii?
Nmb,crdb nk... wanatoa riba ndogo lakini kwenye mikopo yao wanakopesha kwa riba kubwa
kwenye fixed dipost zao hutoa riba ndogo kutokana hawana ukwasi wa fedha.
Hela mbuzi tu hiyo! πAje kwa spidi Kabisa π π π