Benki gani inatoa fixed deposit rate zaidi ya 15%?

Benki gani inatoa fixed deposit rate zaidi ya 15%?

Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?

Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5

Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.

Natangaluza shukrani
weka Finca

over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu NMB Bonus account
 
Mkuu wangu kwa maelezo yako unaonekana hiyo hela utaihitaji ndani ya muda mfupi baada ya kuiwekeza. Cha kufanya peleka kwenye call deposits bank, au peleka UTT kwenye mfuko wa liquid fund kiasi kwamba unaweza chukua mpunga wako muda wowote. Ila kama unataka hiyo hela ikulatie regular income basi peleka pia UTT kwenye bond fund watakupatia mpunga kama Mil 1.9 kwa mwezi na hela yako siku ukitaka yote unachukua within 10 days.
 
Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?

Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5

Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.

Natangaluza shukrani
Mkuu wangu kwa maelezo yako unaonekana hiyo hela utaihitaji ndani ya muda mfupi baada ya kuiwekeza. Cha kufanya peleka kwenye call deposits bank, au peleka UTT kwenye mfuko wa liquid fund kiasi kwamba unaweza chukua mpunga wako muda wowote. Ila kama unataka hiyo hela ikulatie regular income basi peleka pia UTT kwenye bond fund watakupatia mpunga
 
Tupe uzoefu mkuu hao finca, ni muda gani na rate ikoje?
tembelea websit yao FINCA Microfinance Bank Limited

+2550755980350 Namba yao ya huduma kwa wateja
Screenshot_20230128-075600_1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kweli kichwani? Unatoa namba kirahisi

Wazee wa kazi-wakora wakikunasa wakupeleke mafichoni wakulazimishe uwape password ya ATM na mobile money wazisombe hizo hela utasikitika au?

Hizo hela sidhani kama unazo, mbwembwe tu hizo.
Hamna mwenye pesa hapo imeandikwa hiyo 220m ili awaokote watu humu
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Alafu sijui watu skuhizi wanatuonaje huku jf yaani mtu unapata 220m hujui benki gani nzuri kwa kuweka fixed hujui ufanye biashara gani alooooo mbona wenye hela skuhizi wamekua wajinga basi manaa vijana wangu tu hawana hela za miradi lakini kila mmoja ana jambo lake analotaka kufanya na kashalifanyia utafiti kabisa
 
Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?

Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5

Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.

Natangaluza shukrani
Labda ya mbinguni
 
QZ asset management h
Huu ndio ufanyaji kazzi wa QZ
1681955532400.png

QZ asset management ufanyaji wake wa kazi unafuata MLM model ( Angalia picha )

Nukuu toka chanzo kimoja
" As a result, it can be said that QZ Asset Management is a money circulation Ponzi scheme that may collapse soon taking away all the hard-earned money of people."

My Take | Kaa mbali na Ponzi Scheme, Na wala usimshawishi mtu kujiunga.

Zaidi toka Chanzo mtandaoni
" Should I Invest in QZ Asset Management?
We do not suggest being a part of a company that is not even legit and makes false claims regarding its existence.

For now, QZ Asset Management may pay their investors, but it is part of their strategy to make investors fool and win their trust. Later on, QZ Asset Management will lock the money of investors and disable withdrawal.

Eventually, many people will lose their hard-earned money for this guaranteed return scheme.

Such companies prove to be money circulation schemes, Hence stay away from such fraudsters
."
Code:
Source | https://eveninsight.com/qz-asset-management-review/

=
View attachment 2593641
 
Back
Top Bottom