Benki gani inatoa riba nono fixed account?

Benki gani inatoa riba nono fixed account?

Fixed Account ....nilitaka kufungua mwaka 2006 NBC baada ya kumaliza tu kufungua malengo account ..

Waliponipa maelezo kuhusu fixed deposit...na kusoma terms and condition.... Niliona ni utaahira!

Rate ilikuwa ni asilimia 3 kwa mwaka ..

Pia kipengele nilichokiona ni cha kihuni zaidi!... Ni hiki "amount hiyo ya asilimia 3 benki inao uwezo wa kuishusha ama kuipandisha kulingana na hali ya soko kwa wakati wowote! Shiit!!

Niliona hawako constant... Wameweka kipengere hicho ili kukunyima faida halisi kwa kutumia hicho kigezo!

It means wanapanga wao ni kiasi Gani wakupe!. Na hakuna kuhoji...

Ukitoa pesa kwa emergency kabla ya muda... Umefuta!... Unaanza upya!

Bora kuuza hata blazia! Ama kulima matikiti maji!
 
Back
Top Bottom