GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
๐๐๐Kaweke UTT mkuu,mfuko wa bond fund.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Kaweke UTT mkuu,mfuko wa bond fund.
๐๐๐Faida inategemea kiwango chako cha mtaji ulicho deposit.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
๐๐๐Kawekeze UTT-AMIS
๐๐๐TCB wanatoa 11%.
Which means Kwa mwaka utapata 11m.
๐Mawazo kabla ya kupata hela yenyewe...
Ikiingia sasa..hehehe
๐๐๐Mfano ukiwekeza 5M kwa mwezi unapata 60k, kwa mwaka 720k.
N. B: Inategemea na mfuko uliowekeza kwa maelezo zaidi wacheki UTT kwenye accounts zao za Instagram na twitter au kwenye website yao.
Wewe umeniwahiKaweke UTT mkuu,mfuko wa bond fund.
๐๐๐Weqe umeniwahi
Mkuu mchongo ushatiki?Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi?
Asante[emoji120]
Hebu acha basi hayo mkuu๐คฃ
Achana na bank nenda kaweke utt kwakuwa una pesa nying kaweke bond fund hutojutaEndapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi?
Asante[emoji120]
Dah mkuu waswahili wanasema macho kuona, usituache kwenye ufalme wako[emoji12]Hebu acha basi hayo mkuu[emoji1787]