Benki gani inatoa riba nono fixed account?

Mfano ukiwekeza 5M kwa mwezi unapata 60k, kwa mwaka 720k.
N. B: Inategemea na mfuko uliowekeza kwa maelezo zaidi wacheki UTT kwenye accounts zao za Instagram na twitter au kwenye website yao.
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nenda NMB niliona last month wamekuja na hiyo idea........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…