kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Itakuwa vizuri sana wakija kutuelekeza.NGOJA TUWASUBRI WAZEE WA MAKABATI.....
-Wewe unatumia hiyo benki?PBZ ISLAMIC hawana riba so hawakati hela
Mbona wametoa VISA/master card kimyamya sana? Kwenye website yao sioni tangazo la hizi credit/debit cards.Mm kwa sasa niko nje ya nchi, ktk kuondoka kwangu nilitumia bank statement ya hio bank nikaingia nayo ubalozini, wana ATMs, wana tawi pale k/koo mkabala na mnazi mmoja, viza/master card pia, INGIA KWENYE GOOGLE ANDIKA PBZ ISLAMIC utaona matawi yao mbalimbali na huduma zao
PoaMbona wametoa VISA/master card kimyamya sana?, kwenye website yao sioni tangazo la hizi credit/debit cards.
Hawaptikani mikoa karibia yote, wana matawi matatu tu, Pemba, Unguja na Dar Es Salaam, kwa sasa wako mbioni kufungua lingine Mtwara halafu baadaye kabisa wataangalia kufungua matawi Dodoma, Arusha na Mwanza.
Kwa uchache huo wa matawi na kutotangaza products zao, ni ngumu kujua kama kuna benki inaitwa PBZ na ni ngumu kushawishika kujiunga.
Nayo ina matawi machache, Arusha, Dar na Mwanza, sisi kwa wa mikoani inakua ngumu kujiunga.Au kuna bank inaitwa Amana bank, google hio amana bank alaf iangalie, inaweza kukufaa pia wanakila kitu alaf nahisi haina makato kiivyo
Ninavyoona, card ya NMB Chap Chap account huwezi kuibadili kuwa master/VISA cad, wewe unaonaje?, inawezekana?.Nmb kwa account za chap chap,hawakati kitu
nenda BARCLAY'S BANK monthly maintenance fee ni ndogo na kutoa hela kwenye Atms ni 600 tofaut na mwengine wanakata 800
Una account Barclays? Account ya aina gani?nenda BARCLAY'S BANK monthly maintenance fee ni ndogo na kutoa hela kwenye Atms ni 600 tofaut na mwengine wanakata 800
Una account Barclays?, account ya aina gani?
Mbona nasikia hao Barclays wana makato makubwa kwa mwezi?
Kwani Barclays ipo mpaka leo hapa Tanzania?, si' nasikia imesitisha huduma zake?Kwa Barclays bank utapata kadi mbili ambayo ni debit na credit card na itaenjoy international banking experience ambayo utaweza kutoa(Cash withdrawal) na kuweka hela(Cash deposit) kwenye Atms so zile inconvenience za foleni kwenye branch na Atms hakuna