Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa?

Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa?

Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
Subili mabaenki yanajadili kiwango cha riba za mikopo subilia mwezi huu wa sita 2020 itafahamika nasikia watashusha sana riba mpaka asilimia 10
 
hiyo kiboko
mm naona EQUITY BANK ya Kenya
huku kwetu bara wanatupa ATM kadi mpaka za VISA na tukitoa kwenye ATM nashangaa hatukatwi, sijui wanatukaribisha au ipo siku watatukata?
Hawa Equity Bank kwenye Atm zao wanakata elfu moja tu kwa kila mualama uufanyao hata ikiwa ni milioni moja....ni wazuri hawana makato yakijinga jinga
 
Hawa Equity Bank kwenye Atm zao wanakata elfu moja tu kwa kila mualama uufanyao hata ikiwa ni milioni moja....ni wazuri hawana makato yakijinga jinga
Milioni unakatwa 3,000/= kwa sababu utatoa kwa mikupuo mitatu 400,000/=, 400,000/= na 200,000/=
 
Back
Top Bottom