Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Kwenye mitandao ya Sim wanakata ukiuliza salioNaelewa ugumu unaoupata. Na ndio ukweli huo. Hakuna benki rafiki nchi hii. Benki zinapokata hela mteja kwa kuulizia salio kwenye ATM, au internet banking, ni benki hizo tena? Ni genge la wezi tu wenye leseni za BOT. Hebu fikiria makampuni ya simu yaanze kukata muda wa maongezi ama data kila unapoulizia salio!
Labda wanaotumia app Kama m-pesa app au tigo-pesa app
Sent using Jamii Forums mobile app