kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
- Thread starter
- #81
Kudeposit M-PESA kwenda any bank account?Nimeshindwa kujua ni jinsi gani naweza kudeposit kwa kutumia mpesa
Fafanua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudeposit M-PESA kwenda any bank account?Nimeshindwa kujua ni jinsi gani naweza kudeposit kwa kutumia mpesa
Kwenda kwenye xpress acc ya ecobankKudeposit M-PESA kwenda any bank account?
Fafanua.
Wanakata shilingi mia saba.hiyo kiboko
mm naona EQUITY BANK ya Kenya
huku kwetu bara wanatupa ATM kadi mpaka za VISA na tukitoa kwenye ATM nashangaa hatukatwi, sijui wanatukaribisha au ipo siku watatukata?
Mi naona equity bank ndio yenye gharama nafuu, kwa hii Ordinary Account:Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
Duh!, inawezekana isiwe na makato kabisa?, hiyo benki inafaa.Mi naona equity bank ndio yenye gharama nafuu, kwa hii Ordinary Account:
.Kufungua akaunti ni bure, lakini unatakiwa utoe elfu kumi kwaajili ya Visa debit card
.Hakuna makato ya kila mwezi
.Hakuna kiwango cha pesa cha lazima kubaki kwenye akaunti
.Utaweza kuunganishwa na huduma mobile banking (Eazzy 24/7)
Monthly charges na ATM charges zinajulikana, tunaumizwa kwenye makato hewa.Mabenki yote ni Wezi,hakuna benki yenye unafuhu,Monthly charges,ATM charges,Makato hewa kibao.
Kwa sasa sina account naweka kwenye kibubu na X-Pesa,huku porini hakuna ATM wala Bank na mjini kuja mara mbili kwa mwezi,naweka fedha kwenye huduma za simu basi.Monthly charges na ATM charges zinajulikana, tunaumizwa kwenye makato hewa.
Unatumia benki gani mjomba?, account gani?, makato yake yapoje kwa mwezi?
Sawa mkuu.Kwa sasa sina account naweka kwenye kibubu na X-Pesa,huku porini hakuna ATM wala Bank na mjini kuja mara mbili kwa mwezi,naweka fedha kwenye huduma za simu basi.
Makato yao ni wakati wa kutoa pesa kwenye ATM ni 700 au ndani ni 1500, pia kama unafanya online transaction kupitia kadi yao ni buree kabisaa.Duh!, inawezekana isiwe na makato kabisa?, hiyo benki inafaa.
Shukrani mkuu.Makato yao ni wakati wa kutoa pesa kwenye ATM ni 700 au ndani ni 1500, pia kama unafanya online transaction kupitia kadi yao ni buree kabisaa.
hawakati chochoteWanakata shilingi mia saba.
Equity bank, chaji yao ni shilingi mia saba kwenye kila muamala wa kutoa pesa kwenye ATMs.hawakati chochote
Jamani AKIBA BENK na TPB kwenye ATM za Umoja switch wanakata balaa na useme uhamishe kwenye Mobile utajuta
mm chini ya 10m natembea nazo kwenye soksi na mifukoni sitaki tena makato
Wanapataje faida sasa?!PBZ ISLAMIC hawana riba so hawakati hela