Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa?

Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa?

bank yyte duniani inajiendesha kwa mfumo wa ubepari,kila bank ina makato kwa mwezi hata charges zao ni karibu zinalingana zinapishana kidogo sana.wanatofautiana tu kwa njia wanazotumia kukata hayo makato ukikuta makato ya mwezi yapo chini sana jua kuna sehemu wanafidia.
 
Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
Mi naona equity bank ndio yenye gharama nafuu, kwa hii Ordinary Account:
.Kufungua akaunti ni bure, lakini unatakiwa utoe elfu kumi kwaajili ya Visa debit card
.Hakuna makato ya kila mwezi
.Hakuna kiwango cha pesa cha lazima kubaki kwenye akaunti
.Utaweza kuunganishwa na huduma mobile banking (Eazzy 24/7)
 
Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
IMG-20180519-WA0004.jpg
 
Mi naona equity bank ndio yenye gharama nafuu, kwa hii Ordinary Account:
.Kufungua akaunti ni bure, lakini unatakiwa utoe elfu kumi kwaajili ya Visa debit card
.Hakuna makato ya kila mwezi
.Hakuna kiwango cha pesa cha lazima kubaki kwenye akaunti
.Utaweza kuunganishwa na huduma mobile banking (Eazzy 24/7)
Duh!, inawezekana isiwe na makato kabisa?, hiyo benki inafaa.
 
Mabenki yote ni Wezi,hakuna benki yenye unafuhu,Monthly charges,ATM charges,Makato hewa kibao.
Monthly charges na ATM charges zinajulikana, tunaumizwa kwenye makato hewa.
Unatumia benki gani mjomba?, account gani?, makato yake yapoje kwa mwezi?
 
Monthly charges na ATM charges zinajulikana, tunaumizwa kwenye makato hewa.
Unatumia benki gani mjomba?, account gani?, makato yake yapoje kwa mwezi?
Kwa sasa sina account naweka kwenye kibubu na X-Pesa,huku porini hakuna ATM wala Bank na mjini kuja mara mbili kwa mwezi,naweka fedha kwenye huduma za simu basi.
 
Makato yao ni wakati wa kutoa pesa kwenye ATM ni 700 au ndani ni 1500, pia kama unafanya online transaction kupitia kadi yao ni buree kabisaa.
Shukrani mkuu.
Ngoja nizame kwenye official sites za benki maarufu hapa TZ, halafu nimwage summary ya benki zenye account zisizo na makato, nimeshazihesabu, zipo 21.
 
Uzi ulikuwa na mambo mawili ya kujadili:
(1) Account yenye makato nafuu:
Uzi mzima yamepatikana majibu mawili tu, hii inaonyesha ni jinsi gani hatuko serious kudiscuss mambo muhimu kwa faida yetu na nchi yetu;-
-Barclays (2,500/=)
-CRDB (1,888/=)
(2) Account zisizo na makato kabisa:
Summary ya account zisizo na makato kabisa nitaileta baadaye baada ya kupitia website za benki maarufu za TZ, zipo 21.
 
🚶‍♂️🚶‍♂️ 🤔🤔
 
hawakati chochote
Jamani AKIBA BENK na TPB kwenye ATM za Umoja switch wanakata balaa na useme uhamishe kwenye Mobile utajuta
mm chini ya 10m natembea nazo kwenye soksi na mifukoni sitaki tena makato
Equity bank, chaji yao ni shilingi mia saba kwenye kila muamala wa kutoa pesa kwenye ATMs.
 
Back
Top Bottom