Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa?

Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa?

hiyo kiboko
mm naona EQUITY BANK ya Kenya
huku kwetu bara wanatupa ATM kadi mpaka za VISA na tukitoa kwenye ATM nashangaa hatukatwi, sijui wanatukaribisha au ipo siku watatukata?
Unatumia account gani ya Equity bank?, makato yake kwa mwezi ni sh. ngapi?
 
CashXpress ni prepaid card, haina makato ila ni pale unapoitumia ndipo unakuwa charged. Na unaweza kuitumia kwa online purchase pia.
Nikajua CashXpress ni account mojawapo ya Ecobank, kumbe siyo, bali ni prepaid card, duh!
Account ya kawaida Ecobank makato yake ni sh. ngapi?, na hiyo account ya kawaida inaitwaje?
 
Mabenki siku hizi ni mengi, kuna benki nzuri na benki mbaya, benki nzuri ni zenye makato ya mwezi kidogo, na benki mbaya ni zenye makato makubwa kwa mwezi.
Wakuu wengine ukiwauliza benki unayotumia makato yake yapoje?, wanasahau kukujibu, hii inasababisha tukose orodha kamili ya benki ambazo zina makato kidogo. Kuna benki nyingi kwelikweli, benki wakuu wamejibu makato yake hazifiki hata 5%. Ukitaka kuchagua pa kufungua account, angalia orodha hii:

COMMERCIAL BANKS
1. AccessBank
2. Letshego Bank
3. Akiba Commercial Bank
4. Amana Bank
5. Azania Bank
6. BancABC
7. Bank M
8. Bank of Africa (BOA)
9. Bank of Baroda
10. Bank of India
11. Barclays Bank
12. Citibank
13. Commercial Bank of Africa (CBA)
14. CRDB Bank
15. DCB Commercial Bank
16. Diamond Trust Bank (DTB)
17. Ecobank
18. Equity Bank
19. Exim Bank
20. FINCA Microfinance Bank
21. First National Bank (FNB)
22. FBME Bank
23. Guaranty Trust Bank
24. Habib African Bank
25. I&M Bank
26. International Commercial Bank
27. Kenya Commercial Bank (KCB)
28. Mkombozi Commercial Bank
29. National Bank of Commerce (NBC)
30. National Microfinance Bank (NMB)
31. NIC Bank Tanzania
32. People's Bank of Zanzibar (PBZ)
33. Stanbic Bank
34. Standard Chartered Bank
35. United Bank for Africa (UBA)
36. UBL Bank
37. Mwalimu Commercial Bank
38. TPB Bank
39. TIB Corporate Bank
40. First Housing Company

DEVELOPMENT FINANCIAL INSTITUTIONS
1. Tanzania Agricultural Development Bank
2. Tanzania Mortgage Refinance Company
3. TIB Development Bank

COMMUNITY BANKS
1. Kilimanjaro Cooperative Bank
2. Maendeleo Bank
3. Mufindi Community Bank
4. Mwanga Rural Community Bank
5. Tandahimba Community Bank
6. Tanzania Women's Bank
7. Uchumi Commercial Bank

MICROFINANCE BANKS
1. EFC Tanzania Microfinance Bank
2. Finca Microfinance Bank
3. Hakika Microfinance Bank
4. Tanzania Microfinance Bank
5. Yetu Microfinance Bank

SOURCE: Wikipedia
List of banks in Tanzania - Wikipedia
 
Nakushauri ufanye review ya bank statement yako, SCB sio charity organisation kama unavyofikiri. Haijawahi kutokea SCB upoteze ATM ukapewa bure!!! Haitatokea Cheque book wakupe bure. Akaunti yako itakuwa kwenye bundled fee charges! Kati ya mabenki ambao yako smart kwenye kurecover charges ni SCB. Naongea nikiwa naijua vizuri,si kwa kuwa mteja bali ni kuwa mfanayakazi wake. Wako vizuri sana nakubaliana mfano kwa customer service ni excellent! Lakini bure bure hawana! Na hata ukichajiwa unafurahia makato sababu ya huduma zao nzuri!
Mzee baba, nimefanya review kwenye b. statements zangu, Transsaction zote nazielewa ila nimekuta moja ambayo nilikua siijui me mwenyewe ambayo inaitwa Annual Debit Card Fee, apo wamekata buku 10, ATM card nimeishaipoteza mara mbili na nikapewa mpya, sijaona makato yake kwenye Bank Statements, na me uwa sio mtu wa kurundika hela ivo nikikatwa najua.
na asikwambie mtu Co-workers wenzangu wanakatwa ila hii aina ya account nilionayo mimi sijaona makato ayo
 
Hujanijibu mkuu.
Hiyo account yako ya Standard Chartered ambayo haina makato inaitwaje?
 
Kwa Barclays bank utapata kadi mbili ambayo ni debit na credit card na itaenjoy international banking experience ambayo utaweza kutoa(Cash withdrawal) na kuweka hela(Cash deposit) kwenye Atms so zile inconvenience za foleni kwenye branch na Atms hakuna
Kwani inafoleni!?
 
Jamaa alionifungulia alinambia ni Current Account, kwenye website yao ipo na imeandikwa kabsa haina makato ya mwezi.
account yako itakuwa inaitwa "Hifadhi Account" ni current account ambayo haina monthly fee but has transaction fee!! Na fee per transaction ni 950 ( Kwa ATM) na ina ATM annual fee ya 10,000. Ulisema haina charge ya cheque book, ni kwamba ina charge ya Tshs 14,000 kwa 30 leaves mkuu. Utakuwa ulikatwa ila hukumbuki, maana inakatwa mara moja wakati wanaiagiza au kuissue. Kma kuna sehemu nimekosea nikumbushe mkuu, ila kama unasema haina makato, andika leaf yako ya cheque,ingia ndani utoe dirishani uangalie kama haikatwi au unakatwa.
Asante!.
 
Nataka niifungue mkuu..hebu toa nondo kidogo..kuhusu kudeposit,withdraw na je hupewi kadi kabisa??
Kudepost unaweza kudeposit kwenye matawi yao ya ecobank (Kwa tellers) au kutumia wallet kwa maana ya Mpesa,Tigo pesa na Airtel Money. Withdraw pia waweza kuweka kwenye wallet "Mpesa,Tigo pesa au Airtel Money" au unagenerate Token unaenda ATM ya ecobank unavuta kwa card less.
 
Nikajua CashXpress ni account mojawapo ya Ecobank, kumbe siyo, bali ni prepaid card, duh!
Account ya kawaida Ecobank makato yake ni sh. ngapi?, na hiyo account ya kawaida inaitwaje?
Wana akaunti nyingi ila nyingine sizijui sana lakini unaweza kufungua Express account kwa smart phone yako hapo ulipo. Haina makato ya mwezi na wala haikuhitaji kwenda tawini kwao. Hata kama uko mji ambako hawapo unaweza kufungua. Akaunti zingine sio mtaalam sana.
 
Mr nilisikia huwezi kutoa hela iliyoko kwenye paypal account ukiwa Tz? Je, huduma hii inapatikana kwa sasa? Km ipo bank gani nzuri ya kutolea pesa kutoka kweny paypal account?
Sina uhakika mkuu.
Ila kutokana na vyanzo mbaimbali, kupokea pesa kutoka paypal na kuzidraw inawezekana kwa benki mbili tu mpaka sasa, Barclays na Ecobank.
Ecobank inawezekana kwa kutumia prepaid ATM card ya Ecobank inayoitwa CashXpress.
Jaribu kuchimba na wewe.
 
account yako itakuwa inaitwa "Hifadhi Account" ni current account ambayo haina monthly fee but has transaction fee!! Na fee per transaction ni 950 ( Kwa ATM) na ina ATM annual fee ya 10,000. Ulisema haina charge ya cheque book, ni kwamba ina charge ya Tshs 14,000 kwa 30 leaves mkuu. Utakuwa ulikatwa ila hukumbuki, maana inakatwa mara moja wakati wanaiagiza au kuissue. Kma kuna sehemu nimekosea nikumbushe mkuu, ila kama unasema haina makato, andika leaf yako ya cheque,ingia ndani utoe dirishani uangalie kama haikatwi au unakatwa.
Asante!.
Ni kweli nimeendelea kupekua nimekuta cheque book imekatwa mwanzoni, na io annual fee, ndo makato ninayoyaona kwenye B. Statements na haina malipo ya mwezi itakua ndo io Hifadhi Account nafikiri
 
Sina uhakika mkuu.
Ila kutokana na vyanzo mbaimbali, kupokea pesa kutoka paypal na kuzidraw inawezekana kwa benki mbili tu mpaka sasa, Barclays na Ecobank.
Ecobank inawezekana kwa kutumia prepaid ATM card ya Ecobank inayoitwa CashXpress.
Jaribu kuchimba na wewe.
Nimeshindwa kujua ni jinsi gani naweza kudeposit kwa kutumia mpesa
 
Back
Top Bottom