Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Kipindi mimi nafungua ilikuwa ukiwa na ID tu umaliza kila kitu bila ya kuwa na barua ya utambulisho! Sijajua utaratibu wa sasa. Wacheki customer service wakupe muongozo.Kiongozi hii bank unaenda kwa mwenyetiki kuchukua barua ama mnamalizana Bank huko huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok fineKipindi mimi nafungua ilikuwa ukiwa na ID tu umaliza kila kitu bila ya kuwa na barua ya utambulisho! Sijajua utaratibu wa sasa. Wacheki customer service wakupe muongozo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subili mabaenki yanajadili kiwango cha riba za mikopo subilia mwezi huu wa sita 2020 itafahamika nasikia watashusha sana riba mpaka asilimia 10Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
Hawa Equity Bank kwenye Atm zao wanakata elfu moja tu kwa kila mualama uufanyao hata ikiwa ni milioni moja....ni wazuri hawana makato yakijinga jingahiyo kiboko
mm naona EQUITY BANK ya Kenya
huku kwetu bara wanatupa ATM kadi mpaka za VISA na tukitoa kwenye ATM nashangaa hatukatwi, sijui wanatukaribisha au ipo siku watatukata?
Milioni unakatwa 3,000/= kwa sababu utatoa kwa mikupuo mitatu 400,000/=, 400,000/= na 200,000/=Hawa Equity Bank kwenye Atm zao wanakata elfu moja tu kwa kila mualama uufanyao hata ikiwa ni milioni moja....ni wazuri hawana makato yakijinga jinga