mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
nimekwambia kama huna cha kushauri pita pembeni, soma nataka kukopea biashara yangu sio ualimu tuHakuna mkopo wa milioni 100 Kwa mwalimu,labda ukopee na Figo,,,,
Benki gani wewe Mwalimu utapata 100?nina uhitaji tena wa pesa kama milioni mia moja tu.
Sasa mwalimi si uende kwenye hizo benki husika ili ukapate ABC!!ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa nimemaliza deni nadaiwa na bodi tu ya mikopo, nina uhitaji tena wa pesa kama milioni mia moja tu.
Nipeni ipi bank nzuri nikope. Ushauri wako uandane na uhalisia na vigezo.
Hataki kukubali ukweli ,kuipata 50m salary inabidi ianzie 2m above,Mkopo wa wafanyakazi, ni lazima uwe na mshahara mkubwa kazini. Hivyo vigezo unavyo?
Kwa miaka 9 anapata kausha damuHataki kukubali ukweli ,kuipata 50m salary inabidi ianzie 2m above,
2m ni salary ya Afsa e!imu wake ..
Wakopaji njoeni mumpe Elimu huyu jamaa yenu.
ni mteja wa CRDB kitambo nawaza kuwabadiliSasa mwalimi si uende kwenye hizo benki husika ili ukapate ABC!!
Na kama ni mkopo wa biashara, ni lazima uwe umekopa na kurejesha kwa muda mrefu + mzunguko mkubwa wa biashara, ndiyo utakuwa na uhakika wa kupata mkopo mkubwa.
Mkopo wa wafanyakazi, ni lazima uwe na mshahara mkubwa kazini. Hivyo vigezo unavyo?
NAKAZIABenki zote ni Kausha damu ..